Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Mmmh! Makubwa! Tumekutwa!
Shemeji Salama?
Mmekutwa na nani tena?
Mmmh! Makubwa! Tumekutwa!
Shemeji Salama?
aiseeeee..........!!!!!!!!!!Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Kwa heshima yako kaka....nasitisha vita hii kwa muda usiojulikana....kwa mume wangu Mentor.....chepuka tu utakavyo...hamhitaji kujificha we na Khantwe......kwa Khantwe....ukiachika nitafanya party... miss neddy nzunae.....nasafiri kidogo...nahitaji mapumziko mafupi
Mmekutwa na nani tena?
nimekumiss!
kwangu kwema jamani!
wapotelea wapi wewe?
hivi ni mura yupi huyo mamii?
siwaelwi mjue..!
Mmekutwa na nani tena?
ohoooops my dada nitakumisije waniachaje alone
mwallu my dear, tell me the truth..! what are you guys talking about here?Wewe hapo
Sijui ulikunywa siku hizo?
Mrembo...!ulikuwa wapi
mwallu my dear, tell me the truth..! what are you guys talking about here?
kuna ka-vitz na ist hapa nataka nikutumie kwa m-pesa!
hebu niambie nini kinaendelea hapa eenh!
We missed you Shem.....that's the truth
ulikuwa wapi
oh! really? but i got your sister hanging up with another man confidently!
what do you about that? sukuma tradition allows that?
Shemeji Mura TATA MUKULU!
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.