Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Hebu jibu hili swali kwanza . Je wewe mwanaume au mwanamke.

Majibu.

1. Ikiwa ni Mwanamke - makalio ni fahari kwa mwanamke, yaache yatikisike.

2. Ikiwa wewe ni mwanaume - Nenda Mombasa ama Dubai. Huko utapata dawa ya kuyakaza na wataKUKAZA kwelikweli.
 
mnaosema bu@bujibuji ni mwanaume thibitisheni!!
 
Ndio mkuu nataka kutuma pm na sijui ila si kwa bujibuji nina shida na member mmoja humu!

nenda kuna sehem imeandikwa Private message then kuna sehem ya send new message

then itakuja recipient unaemtumia tittle y amessage kwenye body ni message yenyewe then

una submit
 
still tunapendekeza Mchambuzi kupewa hicho cheo, maana kila mtu hapa aliyesema ni OPINION zake na sio muamuzi wa mwisho ! kwa hiyo sio vibaya wanaJF mkiendelea kutoa maoni yenu yawe aidha kumuunga mkono Mchambuzi au kumponda, napenda kusema kwamba katika watu waliochangia hii mada hakuna yeyote ambaye aliyekuwa muamuzi wa mwisho ni opinion zao tu !

Mkuu umesema kweli kabisa. Ngoja niku 'like'.
 
still tunapendekeza Mchambuzi kupewa hicho cheo, maana kila mtu hapa aliyesema ni OPINION zake na sio muamuzi wa mwisho ! kwa hiyo sio vibaya wanaJF mkiendelea kutoa maoni yenu yawe aidha kumuunga mkono Mchambuzi au kumponda, napenda kusema kwamba katika watu waliochangia hii mada hakuna yeyote ambaye aliyekuwa muamuzi wa mwisho ni opinion zao tu !

'like'
 
Hahahaha nimecheka mpaka basi yani uzi sijauanzia mwanzoni ila coment zinafurahisha baada ya giLesi kuwa bujibuji
 
nenda kuna sehem imeandikwa Private message then kuna sehem ya send new message

then itakuja recipient unaemtumia tittle y amessage kwenye body ni message yenyewe then

una submit

thanx my dia! japo kwangu inakuja tofaut najaribu ku pm wewe kama itakubali!
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom