Mambo ya multiple IDs. Hatimaye kumbe swahiba angu Buji anatumia pia ID ya giLESI. Huyu mod aliyezimerge hizi ID hana adabu kabisa.
Mkuu nilijua wewe me!
Bujibuji katutia aibu wanaume.. dume zima unasema umejaaliwa hadi unapigiwa miluzi.. wanaume wa siku hizi shida
Hatari sana hii aisee! watu tulizama pm kumbe tunamuimbisha bujibuji?
Huyo dume aiseeaiseee!!! hiyo ndiyo sifa ya mwanamke we unataka yawe magumu ili iweje.samahan lakini ww ni me/ke then ukafanya reposted
Hahahaaaaa jamani mbavu zanguuu pole sana mkuuu sipati picha ulivyokuwa unashusha saundiWe acha tu mkuu. wengine na namba za simu tulitoa kabisa.
Naona mkuuJF ni zaidi ya uijuavyo.
Hatari sana hii aisee! watu tulizama pm kumbe tunamuimbisha bujibuji?