Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
Lazima Bujibuji amepandwa na BP....
Ajali zingine bana zinakukimbilia tuu....
 
Last edited by a moderator:
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Pole mkuu! Hawa mods sa zingine wana masifa sana bana.....sasa ndio nini hii kuumbuana hivi?:coffee:
 
Pole mkuu! Hawa mods sa zingine wana masifa sana bana.....sasa ndio nini hii kuumbuana hivi?:coffee:

Aiseee mecheka.sana wallah SMU kumbe haya mambo sio mpango.kbs...daamn
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: SMU
Kwa nini ufungwe? wengine ndo kwanza tunauona, haya nambie nini kinaendelea manake sielewi!

Huu uzi uliletwa kitambo na ''Gilesi'', ghafla jana ukaungwa na almaaruf Bujibuji ambae tunaamini ni man(mambo ya multiple IDs), sasa hapa hakuna tena ushauri watu wanatoa juu ya Makalio ya ''Gilesi'', bali ni personal attack
 
Mhhh, hatari! kwa hiyo assumptions ni;
1. Bujibuji ni mwanamke.
2. Grace ni mwanaume.
3. Bujibuji ana ID mbili, yeye ni mwanaume na ana ID ya kike ambayo ni hiyo ya Grace.
Inabidi popote alipo aje ajibu hizi tuhuma, manake hii hatari.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom