Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,503
- 42,575
Atakuwa mwanamke!!
Mwanaume halisi huwezi andika upuuzi huu ..
Unajua ni rahisi KE kuigiza uanaume kuliko ME kuigiza uanamke
Atakuwa mwanamke!!
kubalian na hali ulonayo...vaa dela ili upunguze
Sipati picha kwakweli hayo maandamano huko pmWe acha tu...aibu zingine hata kwenye kioo hujitazami
Dah jamaa achutame,ashavuliwa nguo!
Sipati picha kwakweli hayo maandamano huko pm
kutaka kuyashika hayo makalio ha ya ha
Kwani ni wapi aliposema jinsia yake ni mwanaNke au kuweka picha imekuwa kosa?Wabnaoweka avatar ya mbwa ina maana ndo reflection of truthness?Kwani mtu hawezi kuwakilisha jambo linalomhusu mwingine au husomi post zingine ukaona kisemwacho?Usikutee ni dume kisha linawasanifu tu hapa jukwaani. Kama ---- lako linatingishika sana bado upo karibu kuolewa maana wanaume wanapenda sana watu kama wewe.
Pia kama unaweza kusafiri kwenda Dubai basi unaweza kuwa umeukata kwa Waarabu wale
Hili ni bonge la ajali....
Komredi, hapa ni bodaboda imegongana na treni ya mizigo.