Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
Mods hebu kuweni na huruma ma mwanaume mwenzenu.

Bujibuji ana heshima yake hapa jamvini,Mmemvua nguo vya kutosha,amechutama hadi amechoka.

Mtunzieni heshima,imetosha.
 
Huenda alikua anawasilisha shida ya mtu mwingine ili apate ushauri .
 
Mhhhhh! Haya banaaaa mie nilidhani siku zote weye ni njemba kumbe ni mdada....Yaache tu yatingishike yakiwa magumu hayatingishiki utarudi hapa tena kulalama, "Matak_ yangu magumu sana hayatingishiki, nifanyeje ili yatingishike?"






BAK mzima lakini
 
Last edited by a moderator:
nina mwili wa kawaida kabisa, ila huko nyuma nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means jf mwenzenu.
kama ulikua unabadnduliwa ndo hasara zake hizo
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom