Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
nenda kuna sehem imeandikwa Private message then kuna sehem ya send new message

then itakuja recipient unaemtumia tittle y amessage kwenye body ni message yenyewe then

una submit

vipi mpendwa umepata!?au imepoteza mwelekeo!
 
Jamaa ni mwanaume na tumeshakutana nae mara nyingi tu kwenye shughuli za JF DAR Wing....hii ni ajali tu imemkumba.

Najaribu kuimagine na lile mwili jumba afu vijana wanataka kumsarandia. Mi nahisi swahiba wetu ni basha. vijana walojipendekeza lazima kuna mmoja alifanywa asusa.
 
Haaa yaani Mzee wa Rula alikuwa.na machale sana....meona mbali sana..hahaa
Asprin kumbe ulituma hadi.namba ya simu? Malabuku

Hommie wacha kabisa hii maneno. Nlikuwa natekeleza majukumu ya chama chetu. Nikaingia choo cha kike nikasahau kuchuchumaa wakati najojoa. Hatareee.
 
Last edited by a moderator:
Najaribu kuimagine na lile mwili jumba afu vijana wanataka kumsarandia. Mi nahisi swahiba wetu ni basha. vijana walojipendekeza lazima kuna mmoja alifanywa asusa.

Kabisa....buji lazima atakuwa alijipakulia baadhi ya hawa vijana wasiomjua....Mungu atuepushie mbali na ajali kama hizi
 
Kwa mwendo huu sitakuja nimtongoze mtu JF, yaani ukiangalia avatar zen uangalia na kilichoandikwa nadhani utaniunga mkono kwa kubaki mdomo wazi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom