Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
shahawa ndio solution tena zinatakiwa za moto umwagiwe mndukuni japo mara 3 kwa mwezi kwa mda wa miezi 2
This is a good experience. Aisifuye mvua imemnyea. Na alisifiaye jua limemwangaza.Naamini utakuwa umepona kabisa sasa baada ya kumwagiwa "mndukuni mwako kwa mara 3 kwa mwezi kwa mda wa miezi 2" kwa hilo ulilokusudia wewe.
Good
very-merry-christmas.gif
 
Hiyo huku kwetu tunaita inye ngwendengwende, hiyo miluzi izoee tu.
 
una nia gani kuomba ushauri hu JF badala ya kumuona doctor au mshauri? naona una lako jambo
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

wala hata usihangaike, anza kukalia vitu vigumu kama vile, mawe, viti vya mbao, chini n.k badala ya viti laini (sofa, coach n.k) baada ya mda utaona utaona mabadiliko kisha nijulishe. Tatizo lako umekulia mjini kwenye sofa.
 
Hongera kama unayo hvyo had yanatingishika, na we pia ucpende kuvaa nguo lain.
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Jitahidi kuyakaza; usiaache yakazagaa
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

USIFANYE CHOCHOTE KWA TAARIFA YAKO UMEJAALIWA. I wish ningekua nakujua
 
Naomba utuwekee video nasi tupige miluzi.

Last edited by a moderator:
FUATA USHAURI UFUATAO:- *MAHITAJI: -Chukua cementi kilo moja na nusu -Maji lita moja na robo _Mchanga kwa mbali *JINSI YA KUFANYA: -Changanya maji na cementi, kisha koroga hadi mchanganyiko uwe rangi ya udhurungi. -Weka mchanga hatua kwa hatua hadi mchanyiko wote uwe rojo nzito. Mimina mchanganyiko huu kwenye karai......hakikisha huna nguo hata moja......Kalia mchanganyiko huu step by step hadi makalio yote yapotelee kabisa kwenye karai, kaa kwenye mchanganyiko huu kwa dakika tano kisha inuka, baada ya dakika tano kaa tena...fanya hivi kwa saa nzima. *TAHADHARI_usisahau kuacha space (hole) ya "choo" ...................Ukifanikiwa unijulishe nikutumie namba yangu ya M fedha..... ...................ila kama yakiendelea kutikisika basi usilipie ushauri huu...nitakuwa nimekupatia ushauri free of charge.
 
wala hata usihangaike, anza kukalia vitu vigumu kama vile, mawe, viti vya mbao, chini n.k badala ya viti laini (sofa, coach n.k) baada ya mda utaona utaona mabadiliko kisha nijulishe. Tatizo lako umekulia mjini kwenye sofa.

asante kwa ushauri let me go for it
 
FUATA USHAURI UFUATAO:- *MAHITAJI: -Chukua cementi kilo moja na nusu -Maji lita moja na robo _Mchanga kwa mbali *JINSI YA KUFANYA: -Changanya maji na cementi, kisha koroga hadi mchanganyiko uwe rangi ya udhurungi. -Weka mchanga hatua kwa hatua hadi mchanyiko wote uwe rojo nzito. Mimina mchanganyiko huu kwenye karai......hakikisha huna nguo hata moja......Kalia mchanganyiko huu step by step hadi makalio yote yapotelee kabisa kwenye karai, kaa kwenye mchanganyiko huu kwa dakika tano kisha inuka, baada ya dakika tano kaa tena...fanya hivi kwa saa nzima. *TAHADHARI_usisahau kuacha space (hole) ya "choo" ...................Ukifanikiwa unijulishe nikutumie namba yangu ya M fedha..... ...................ila kama yakiendelea kutikisika basi usilipie ushauri huu...nitakuwa nimekupatia ushauri free of charge.

uwiiiiiiiiii! Mbavu zangu
 
Eti mat-ako yanalia pa! Pa! Pa!

We yaache kama yalivyo, yana haki zote kama viungo vingine katika mwili wa mnyama!

Ntarudi kumalizia..!
 
We we we we we!mbona unataka kutunyima raha? Nitafute ili nikupongeze mie ni mlevi WA watu WA sampuli yako.
Nalog off
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Mashallah mtoto umeumbika
Nalog off
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom