Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
Duh
Vaa bikini, pant, skin tight, gagulo, na sket
Hapo utakua ume solve
Yakitakisika tena nicheki
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

yaache hivyo hivyo bana..........
 
Unataka kukana rehema za Mungu. Nipm nitakupa ushauri.
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

alhamdulilah mambo ya SHEHE kipwazeo hayoo
 
Mtu anaishi kipawa huko unamwambia mambo ya casandra mara sijui woolworth si matusi hayo

Hiyo sasa dharau. Sehemu anayoishi mtu ina uhusiano gani na maduka hayo? Hivi pale Mlimani City kwa mfano wanauliza mtu anatoka wapi au shida yao ni pesa? Kwa taarífa yako watu wenye pesa sasa wanahama kukwepa vurugu za mjini wanaenda "bush" kujinafasi !
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Bujibuji ukiwa mlaini ndio nzuri wakati ukiwa unapewa dozi na makofi yanalia vema
Hivi mkuu kumbe wewe ni KE badili hiyo avatar yako basi mimi siku zote najuwa wewe ni ME
 
Last edited by a moderator:
On a positive response: put on underpants that will hold the whole mzigo,inapunguza kutingishika,i am average size but got a lil popped out kibooty,most times my friends doubt kama nimevaa underpants sababu ya movement ya my kibooty inspite of putting underpants that hold it all. So try my advice and consult training experts on excerciss that will make it firm (squats may work for you) they put the booty in shape,smooth and makes it firm.Good luck Dada!!
Msinijie na manegativity yenu ya kuita watu wauzaji hapa,maana mmecramishwa kuita watu wauzaji.

kama tulionana mahali hivi!?
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
picha muhimu
 
Mbona humu mambo yamebadilika? kumbe ni Bujibuji na si giLESI?

quote_icon.png
By giLESi

asante kwa mchango Wako. Thank you for being genuine advisor
 
Mbona humu mambo yamebadilika? kumbe ni Bujibuji na si giLESI?

Hawa Mods na JF naona sasa wameshindwa kazi..., hivi wanajuaje aliyeyeleta hii mada sio giLESI me wake Bujibuji au mtu wanayeshare laptop ? huku kuunganisha majina nadhani kunakiuka maadili na miiko ya anonymous
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom