Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Eee bwana eheee, wewe ni anti fulani au? Mbona unanitamanisha mie mwanaume mwenzio, umeumbika kivipi huko nyuma, mashaaaalaaaaa! Eti ile zana yako inatikisika kama bamia/mlenda.....wewe nakutunuku aiseeee:A S 13:
 
aisee BUJIBUJI uje huku utujuze chochote, una mahusiano gani na giLESI?
 
What? Ndio ugonjwa wangu huo! Yan kama hujaolewa ni Pm nikakulipie mahari fasta! Kuhusu kuona aibu nitakutia kwenye mkoko uwe unatembelea hayo makalio!
 
uislam unamtaka mwanamke ashushe shungi lake mpaka kifuani mwake ili maumbile yake yasionekane,ukivaa kama uislam unavyotaka hilo tatizo limekwsha!hakuna suluhu halic zaidi ya hii!ambayo aliyekuumba kuwa na ------ manene,miguu nk ukivaa hivyo mungu anasema utaheshmika hutapigiwa miruz,ks wala nanii utakopopita popote!
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Natamani angekuwa ni Bishanga alieanzisha uzi huu!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom