Nifanyeje kumbembeleza mme Huyu?

Nifanyeje kumbembeleza mme Huyu?

Duh, kuna kupigana tena?

Najifunza mengi tu huku
 
Wanaume feki wanaopiga wake zao mwanamke hapigwi anatulizwa kwa mapenzi. -Ney wa mitego
 
Wanaume feki wanaopiga wake zao mwanamke hapigwi anatulizwa kwa mapenzi. -Ney wa mitego

acheni kuiga vitu atambavyo havipo kwenye dunia ya kawaida.... Hayo usemayo ww ni ktkt ulimwengu wa kufikirika tu
 
acha kumwonea mumeo kisa hana kazi. Unazidi kumtia mastress mwishowe ataja jiua bure.

ndio shida hyo!! Nadhan amemfanyia hvyo kisa hana kaz ila hajui kuwa anajidhalilisha na kujishushia hadhi yeye mwenyew
 
hebu niambie mtan vp ungekuwa ww ungemfanyaje mmeo ili afurahi na asinune tena?? Kwa7b ulivyopinda spat picha ingekuwaje
Akinipa chance ya kukaa nae tu hata kama kanuna mambo yanakuwa sawa mara moja
ila akiondoka au kunitimua ndo mtihani
niakueleza kwa kina nnavofanya hadi kinaeleweka
 
Nlliletwa home na mme mwingine akaninunulia zawadi etc it's was on my birthday ndo nkaambulia kipigo,was supposed to spend that day with my husband but failed him and came in home so late,kiukweli was wrong

Morning glory shosti lazima upigwe!!
Tena naona hajakupiga sawasawa.......sasaivi ulitakiwa uwe unaugulia kitandani
 
Wanaume feki wanaopiga wake zao mwanamke hapigwi anatulizwa kwa mapenzi. -Ney wa mitego

Kweli wanaume fake wanaopiga wake zao lakini hili la kumtaftia mumeo mume mwenza dharau imezidi - hapa kipigo muhimu
 
Duuuh yan umekosesa ukadundwa na bado unataka kubembeleza tena. Unataka upigwe tena? Kama ameshakupiga ina maana kosa lako limeisha na akiendelea kununa mwambie Go to hell!!
 
Wanaume feki wanaopiga wake zao mwanamke hapigwi anatulizwa kwa mapenzi. -Ney wa mitego
Kweli wanaume fake wanaopiga wake zao lakini hili la kumtaftia mumeo mume mwenza dharau imezidi - hapa kipigo muhimu kinahusika
 
Haijalishi kosa, Mwanaume anaekupiga hana haya.
Na kama amekupiga mara ya kwanza his more likely to repeat again.......
 
morning glory!!!!! hufai kuwa na hili jina kbs,haliendani na matendo yako, ila inaelekea hujitambui, kwa nini ulikimbilia kuolewa ikiwa bado hujatulia?
 
Mm akija au jion wewe muandalie chakula vizur mkaribishe akila tu we vaa kimitego ili ale mzgo janja yote toa hapo alafu wakati anakula mzgo mwambie siulinuna wewe sasa mbona unachekrlea .yote hayo inategemeana na tatizo kama nilaki familia au la jamii kwa ijumla au ni tatizo la wewe na yeye
 
kumbe!.... Yaan ulistahili kipigo na taraka kabisa..... Mwanamke haukuwa hata na haya?! Hustahili kuitwa mke wa mtu tayar ni mke wa watu.

He is a friend not more sema mume wangu amenielewa tayari,unajua Angekuwa Mtu mbaya naingeweza muleta home
 
Back
Top Bottom