Good morning NK!
Umeamkaje mpendwa?
well, nimekumbuka sasa hivi ile assignment.. Kama unataka kuweka video hapa unafanya hivi:
Chukua link ya video kutoka youtube, copy it!
Halafu tazama kwenye screen yako hapa, kuanzia alama ya
Bold (B) hesabu hapo mpaka kitufe cha 14 hapo kwenye Row kinaitwa
insert video!
Bonyeza hicho kialama chenye alama kama ya mkanda wa film, kikifunguka tu,
paste link (URL) yako uliyo-copy kutoka youtube.
Kisha unaweza kuandika ujumbe wowote chini yake ama ni comment yoyote uliyokuwa ukitaka andika iendane sambamba na video hiyo!
Jaribu hii formula, ukishindwa usisite kuniuliza tena na tena!
cc
King's daughter