Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
He is a friend not more sema mume wangu amenielewa tayari,unajua Angekuwa Mtu mbaya naingeweza muleta home
Hongera, kwa hiyo ulikula kipondo bila hatia masikini.
He is a friend not more sema mume wangu amenielewa tayari,unajua Angekuwa Mtu mbaya naingeweza muleta home
He is a friend not more sema mume wangu amenielewa tayari,unajua Angekuwa Mtu mbaya naingeweza muleta home
Kumpiga ndo suluhisho? Na siku akikutwa yeye na mwanamke apigwe...? I think people should treat each other like adults, kumpiga mtu ndo kutamfanya mtu asichanue sketi akiamua? Tena ndo ataenda kubembelezwa na huyo bebi kesho yake. Mwanaume mwenye akili hahitaji kupiga, anaweza kuongea sentensi 2 tu zikawa zaidi ya kipigo! Kama koti limembana alivue tu, kipigo will most likely not change anything sana sana kipigo kitaongeza woga na usiri kama mtu anataka kufanya yake behind his backMorning glory shosti lazima upigwe!!
Tena naona hajakupiga sawasawa.......sasaivi ulitakiwa uwe unaugulia kitandani
Kama ni ulimsalit mwambie akupige tena thn akufukuze urudi kwenu
Teheeee ndo mi naposhangaa sasa... mtu mzima napigwa na mtu nlokutana nae barabarani miaka kadhaa ilopita. All in the name of "my husband..." Mfyuuuu!lijitu linikung'ute halafu nitafute namna ya kupatana nae.
Maneenah.
Liende selo kwanza siku mbili na baridi hii??
lijitu linikung'ute halafu nitafute namna ya kupatana nae.
Maneenah.
Liende selo kwanza siku mbili na baridi hii??
Haijalishi kosa, Mwanaume anaekupiga hana haya.
Na kama amekupiga mara ya kwanza his more likely to repeat again.......
wadada micharuko dawa yao ni kudundwa tu
Hana kazi
Unajua Huyu Jamaa ni kaka wa rafiki yangu na Ana mke wake kilichofanyika rafiki yangu wa kike aliniita na kununulia zawadi Za siku yangu ya kuzaliwa Kwa sababu kaka yake alikuwepo na gari ndo akanirush nyumbani na hakukuwa na tatizo lolote hapo sema namna ya kukuelewesha mume wangu,people don't take it so negative aisee
Omba msamaha tu then muache hasira zikipungua mtakuwa vizuri
kwanini hutaki usiku anune kwani mvua inanyesha?
Teheeee utakutana na wengine tumeshiba tunakunyuka na wewe kesho hurudii kulianzisha!
Kumbe kuoa kuna raha hivi?
Unajua Huyu Jamaa ni kaka wa rafiki yangu na Ana mke wake kilichofanyika rafiki yangu wa kike aliniita na kununulia zawadi Za siku yangu ya kuzaliwa Kwa sababu kaka yake alikuwepo na gari ndo akanirush nyumbani na hakukuwa na tatizo lolote hapo sema namna ya kukuelewesha mume wangu,people don't take it so negative aisee
hilo la mme wako kukosa kazi ndilo linalokufanya umpe dharau..
Hapana simdharau ningekuwa namdharau ningekuwa nimemwacha siku nyingi,nampenda kufa
sasa jitahidi uache hayo mambo ya kitoto mambo yatakapo kuwa shwari