Nifanyeje kumbembeleza mme Huyu?

Nifanyeje kumbembeleza mme Huyu?

Jamani nimekosana na kipenzi changu na akanipiga sana Jana Usiku na hakukuwa na Amani kabisa,staki tununiane tena Usiku Huu, nahisi Mimi ndo mwenye makosa nifanyeje kumbembeleza na nifanyeje agundue that I am truly sorry,msaada wana MMU
Be blessed

ww mfuate ukiwa umijifunga kipande cha kanga huku ukiwa unamlegezea macho na uwe unasugua vidole simama mbele yake anza kuomba msamaha utaona anakuwa mpooole
 
Mambo ya kupigana tena nudge? Mbona pole ila ingekuwa rahs kukushauri kama tungejua kosa
 
Muombe msamaha ..
Fanya majukumu yako with smiling face hakikisha unakaa kihasara hasara na nguo ya mtego ambayo mpenzio anaipenda ila usilazimishe kuongea sana kwa maana yawezekana bado ana hasira.use body language zaid
 
Muombe msamaha ..
Fanya majukumu yako with smiling face hakikisha unakaa kihasara hasara na nguo ya mtego ambayo mpenzio anaipenda ila usilazimishe kuongea sana kwa maana yawezekana bado ana hasira.use body language zaid

mmmmh! Wachaaaaaaa!
 
Fafanua Hapo penye wekundu usaidiwe

Pole na kipijo

Nlliletwa home na mme mwingine akaninunulia zawadi etc it's was on my birthday ndo nkaambulia kipigo,was supposed to spend that day with my husband but failed him and came in home so late,kiukweli was wrong
 
Kuna vitu unapaswa kufanya ila hufanyi na vilevile kuna vitu hupaswi kuvifanya ila wewe unafanya! Ndoa inataka uelewa mpana sana na sio mambo 6X6 tu baada ya hapo basi kila mtu anaangalia ustaarabu wake ujue hapo kuna utata na haichukui muda mrefu utasikia ndoa iko matatani.

Kupendana, kuheshimiana, kuvumiliana na kuamininana ndio nguzo pekee katika ndoa! Vingine matokeo tu!!
Ngumi kwenye ndoa zetu zisingekuwepo kama hayo niliyoyataja yangezingatiwa na wanandoa wote, fujo kwenye ndoa zinasababishwa na mmoja au wanandoa wote kujiamini kuwa anajua/wanajua kupita kiasi na kusahau kuwa ndoa ni somo lisilo na ukomo na halina graduate! Siku una-graduate kwenye ndoa yako ni siku unaingia kaburini tu...

Mtaumizana bure! kupigana ni dalili za kukosa uvumilivu au uvumilivu kufika ukomo, na hii ni hatari! Mkishaanza kupigana kwenye ndoa hata vile vionjo vya mapenzi ya dhati vinaanza kupungua hata kama mlizoea kuwasiliana kwa siku zaidi ya mara tatu itapotea! Kama mlikuwa mna mtindo wa kwenda family vacation kila mwaka utaona inatoweka na mambo mengine ndo yatakuwa priority. Hata ule moto wa "baby I miss you , Honey I love you, Darlin etc vyote hivyo vitabaki kuwa hekaya tu!!

Kaa chini na mumeo kama mnapendana, mwambie Mungu hapendi ugomvi kati ya wanandoa na kuwa unatambua kosa lako,unalijutia na hutalirudia tena. Mwambie ingawa ulikosea lakini kukupiga si kitu chema kinakuumiza kama mtoto wa kike na inapunguza upendo.
Mkumbushe the bygone days mlikuwa mkiishi vipi, the good times mlipokuwa pamoja na mipango yenu ya kimaisha ya kujenga familia bora yenye amani na upendo!

Mpendane upya na hiyo itoke mioyoni mwenu na Mungu atasimamia ndoa yenu.

Ubarikiwe!

Thanks sana mkuu wangu nimekupata vilivyo
 
Nlliletwa home na mme mwingine akaninunulia zawadi etc it's was on my birthday ndo nkaambulia kipigo,was supposed to spend that day with my husband but failed him and came in home so late,kiukweli was wrong

Hapo pagumu shost, ulistahili kipigo kwa kweli. Jishushe, muombe msamaha huku ukionyesha kujuta.....usilazimishe akusamehe mapema, mpe muda na space manake wanasema time heals.
 
umempa ushaur mzur hapo hata kama mwanaume ni dikteta lakin lazma awe mpole hahahaaaa! Chezea nyuchi ww

Don't play with power of nyuchi wewe....unampa saut 21 za mahaba na hapo nipo kiasara hasara hawez kuvuka
 
Nlliletwa home na mme mwingine akaninunulia zawadi etc it's was on my birthday ndo nkaambulia kipigo,was supposed to spend that day with my husband but failed him and came in home so late,kiukweli was wrong

kumbe!.... Yaan ulistahili kipigo na taraka kabisa..... Mwanamke haukuwa hata na haya?! Hustahili kuitwa mke wa mtu tayar ni mke wa watu.
 
Mbona wenzangu mna-comment as if hamjasikia alichosema? Hivi huyu baby wake alivompiga mbona mnafumbia macho jamani? Mbona mie naona sehemu ya kumshikia ndo hapo mana shosti kosa lako lishafutwa kwa kipigo alichokupa, hapo we nuna ili akuombe yeye ndo akuombe msamaha.
Nani kasema nimfumanuie mimi nimdunde then nimuombe msamaha labda niwe kichaaaaa...
 
Ndio maana JK anaitwa Dr.
Unafikiri hii falsafa ni ya uongo?
"Upepo tu utapita"
 
Don't play with power of nyuchi wewe....unampa saut 21 za mahaba na hapo nipo kiasara hasara hawez kuvuka

mmh! Lakin kwa kosa alillofanya huyu mwanamke hata nibembelezwe vp hata haiwez kusimama... Mwanamke hana hata haya
 
Ushauri wangu umechelewa kdogo,ningekushauri ubadili muonekano wa chumba kiasi,then pika chakula akipendacho,oga unukie vizuri,jifunge mtandio mwepesi wa kuvutia..onyesha kujutia usiongee maneno mengi..unaweza ukaandika hata kwenye karatasi ujumbe mfupi wa kuomba samahani...then unipe matokeo...kama hatokusamehe na kukupa kipigo cha usiku huyo ana lake jambo!
 
Kama ni ulimsalit mwambie akupige tena thn akufukuze urudi kwenu
 
Back
Top Bottom