Nifanyeje kumbembeleza mme Huyu?

Nifanyeje kumbembeleza mme Huyu?

Bidada umefanya makosa, ndoa ni comitment,ndoa ni kuepuka kumfanyia mwenzio usiyopenda kufanyiwa..hapa ni pagumu mtu kufungua moyo!
Nlliletwa home na mme mwingine akaninunulia zawadi etc it's was on my birthday ndo nkaambulia kipigo,was supposed to spend that day with my husband but failed him and came in home so late,kiukweli was wrong
 
mmh! Lakin kwa kosa alillofanya huyu mwanamke hata nibembelezwe vp hata haiwez kusimama... Mwanamke hana hata haya

Daaa nimeona kosa lenyewe akae mbali na mumewe uletwe na kidume afu umechelewa siku ya basidei!!!!!"" Kichapo halali
Daaa kwanini lakin watu hawatumii akili
Nalog off
 
Nlliletwa home na mme mwingine akaninunulia zawadi etc it's was on my birthday ndo nkaambulia kipigo,was supposed to spend that day with my husband but failed him and came in home so late,kiukweli was wrong
Huyo mwingine ni shemeji pia au rafiki?
 
Daaa nimeona kosa lenyewe akae mbali na mumewe uletwe na kidume afu umechelewa siku ya basidei!!!!!"" Kichapo halali
Daaa kwanini lakin watu hawatumii akili
Nalog off

kwanza kaonesha dharau kubwa sana, huyu alistali arudi kwao akashike adabu aliyoikosa
 
Lazima upigwe tu na ikibid akurudishe kwenu ukafunzwe adabu,huna mana
 
Ulimfanyanini? Hujatolewa manundu kweli mmmh maisha yakupgwa bado yapo tu? Btw-mpe muda hasira zake zipungue kwanza ! Atakapoanza kuchepuka ndo utakoma!! Pole

hapo sasa@Munkari hata mie nimeshangaa kumbe kuna watu wanadundwa hadi Leo???
 
Halafu kesho anaanza kulalamika mara wanaume hiv mara vile anasahau kwa chanzo niyy
 
Nlliletwa home na mme mwingine akaninunulia zawadi etc it's was on my birthday ndo nkaambulia kipigo,was supposed to spend that day with my husband but failed him and came in home so late,kiukweli was wrong
Aise, kumbe una waume wawili au mimi ndio sijaelewa maana ya mme mwingine?
 
Nlliletwa home na mme mwingine akaninunulia zawadi etc it's was on my birthday ndo nkaambulia kipigo,was supposed to spend that day with my husband but failed him and came in home so late,kiukweli was wrong
Kuna watu mna mioyo ya chuma aisee yaani i cant imagine..una mume ikisha unaletwa nyumbani na mwanaume mwengine plus zawadi,nakupa heko kwa ujasiri ulionao!mi nisingethubutu sio kwa kuhofia kipigo just the thought of it mwanaume yoyote hilo lingemuumiza dahhh....shukuru hukupewa talaka aisee!na mpe muda mumeo apoe we kubali kuwa mdogo tu ka piriton!
 
huy kazoe ndio tabia yake ndio maana hakuona hata aibu kufanya upuuzi huo. Yaan alistahili taraka hana sifa ya kuwa mke
 
Wanawake kama nyinyi muko wachache humu duniani. Chamsing jifanye umesahau kua ulipigwa akija unamchangamkia kama siku zote
 
huy kazoe ndio tabia yake ndio maana hakuona hata aibu kufanya upuuzi huo. Yaan alistahili taraka hana sifa ya kuwa mke
Yaani baadhi ya wasichana/wanawake wananishangaza mno….ukishapata wadhifa wa kuitwa mke wa fulani sahau mazoea na wanaume wengine zaidi ya mumeo,marafiki wakaribu na ndugu wa kiume, unatakiwa ujiheshimu na uiheshimu ndoa yako.Msingi wa ndoa imara ni heshima,tujue mipaka yetu jamani.
 
Omba msamaha tu then muache hasira zikipungua mtakuwa vizuri
kwanini hutaki usiku anune kwani mvua inanyesha?
hahahhaha tena kama inanyesha inakuwa raha ni ajee....hahahahahha loh haya maisha raha sana
 
kwanza kaonesha dharau kubwa sana, huyu alistali arudi kwao akashike adabu aliyoikosa

Rafiki si nimekumbia usiniite jaman

Siwez kuona au kusikia hii kitu huyu Dada kapitiliza ujasiri na hata mshipa wa aibu ndo mana alikataa kusema tatizo
Amshukuru hyo mumewe ambaye kajaliwa busara na hekima mwingine angemtegeua nyonga .....michepuko sio dili jaman aache uhuni

Sielewi tatizo ni nini..inatia hasira tamaa za kishenzi hizi....
Unatema bigijii kwa karanga ya kuonjeshwa
 
Ushauri wangu umechelewa kdogo,ningekushauri ubadili muonekano wa chumba kiasi,then pika chakula akipendacho,oga unukie vizuri,jifunge mtandio mwepesi wa kuvutia..onyesha kujutia usiongee maneno mengi..unaweza ukaandika hata kwenye karatasi ujumbe mfupi wa kuomba samahani...then unipe matokeo...kama hatokusamehe na kukupa kipigo cha usiku huyo ana lake jambo!

Haya wanawake wanapaswa kuyafanya kila siku na sio siku wanapowakosea wenzi wao...
 
Kuna watu mna mioyo ya chuma aisee yaani i cant imagine..una mume ikisha unaletwa nyumbani na mwanaume mwengine plus zawadi,nakupa heko kwa ujasiri ulionao!mi nisingethubutu sio kwa kuhofia kipigo just the thought of it mwanaume yoyote hilo lingemuumiza dahhh....shukuru hukupewa talaka aisee!na mpe muda mumeo apoe we kubali kuwa mdogo tu ka piriton!
gorgeousmimi, Everything happens for a reason.....

Rafiki si nimekumbia usiniite jaman

Siwez kuona au kusikia hii kitu huyu Dada kapitiliza ujasiri na hata mshipa wa aibu ndo mana alikataa kusema tatizo
Amshukuru hyo mumewe ambaye kajaliwa busara na hekima mwingine angemtegeua nyonga .....michepuko sio dili jaman aache uhuni

Sielewi tatizo ni nini..inatia hasira tamaa za kishenzi hizi....
Unatema bigijii kwa karanga ya kuonjeshwa

hilo ni wanawake wachache sana wanaolitambua.... Mpo wachache sana wenye kutambuathaman ya ndoa
 
Evelyn Salt;9325728]Baridi ikimshika atacheka mwenyewe

nimekukubali
 
Back
Top Bottom