si umuombe msamaha tu?
Huyo tumwombe apate raha na huyo mtu wake na apumzike mahali pema huko anakokaa
si umuombe msamaha tu?
Jamani nimekosana na kipenzi changu na akanipiga sana Jana Usiku na hakukuwa na Amani kabisa, sitaki tununiane tena Usiku Huu, nahisi Mimi ndo mwenye makosa nifanyeje kumbembeleza na nifanyeje agundue that I am truly sorry
Msaada wana MMU.
Be blessed
Bravo! You made it!
such a fast learner i can say!!!
Good morning NK!
Umeamkaje mpendwa?
well, nimekumbuka sasa hivi ile assignment.. Kama unataka kuweka video hapa unafanya hivi:
Chukua link ya video kutoka youtube, copy it!
Halafu tazama kwenye screen yako hapa, kuanzia alama ya Bold (B) hesabu hapo mpaka kitufe cha 14 hapo kwenye Row kinaitwa insert video!
Bonyeza hicho kialama chenye alama kama ya mkanda wa film, kikifunguka tu, paste link (URL) yako uliyo-copy kutoka youtube.
Kisha unaweza kuandika ujumbe wowote chini yake ama ni comment yoyote uliyokuwa ukitaka andika iendane sambamba na video hiyo!
Jaribu hii formula, ukishindwa usisite kuniuliza tena na tena!
cc King's daughter