Nifanyeje ili niondokane na maumivu haya?

Nifanyeje ili niondokane na maumivu haya?

Wengn tushapita huko. Mdgo wang jivue gamba kiume,japo maumiv yake sio kidgo ila ni ya muda. Huyo mtaishia naye pabaya sana. Fumba macho kiume kwel kwel kaa pembeni. Jiweke tyr kuumia,ili maumiv yakianza usishangae. Wengi wamefel shule sabb y haya mambo. Zingatia.
 
atoto, Heaven Sent njooni muone mdogo wenu anachofanya huku
He is too young to be stressed kiasi hicho. Afu he doesn't have to beg anybody to love him. I wish angejua thamani yake akaamua kujikeep busy na masomo yake Coz akidisco hapo ndo atadata vizuri na wala haitomuhusu mdada kabisa. Afu hadi nimecheka eti, aende kwa mganga ili apendwe Mmh. Sometimes; with age comes wisdom. Ngoja kwanza mapenzi yamuoneshe jinsi yalivyo, ndo anakomaa
 
Last edited by a moderator:
Mh!! "the more u love, the more u hate"....and vise versa.
 
Waganga achana nao. Utajikuta umekuw mtumwa wa dawa ktk maisha yako yote. Yaache mambo km yalivyo.
 
He is too young to be stressed kiasi hicho. Afu he doesn't have to beg anybody to love him. I wish angejua thamani yake akaamua kujikeep busy na masomo yake Coz akidisco hapo ndo atadata vizuri na wala haitomuhusu mdada kabisa. Afu hadi nimecheka eti, aende kwa mganga ili apendwe Mmh. Sometimes; with age comes wisdom. Ngoja kwanza mapenzi yamuoneshe jinsi yalivyo, ndo anakomaa

kesho naanza kukutokea... una akili sana!!
 
Kijana pole kwa hayo unayoyapitia,ila tatizo ninaloliona haliko kwa binti tatizo unalo wewe unaiminisha akiri yako kuwa huwezi kumuacha ndivyo itakavyokuwa na binti nae anajua unampenda atakufanyia kila aina ya ujinga kadri awezavyo kwa sababu anajua hupindua kwake.

Ushauri hakikisha unatumia akiri ktk kufikiri na sio hisia kama ufanyavyo sasa,by the way uamuzi unao wewe kuamua kufikiri na kuwa na mtazamo tofauti kuhusu mapenz au kuendelea kuwa mtumwa wa hisia

Mkuu nataman sana unitumie akili lakn najikuta narud nyuma plz naomba unisaidie labda nifanye vitu GAN?
 
Umri wako bado sana,soma,sali.
Mpaka ukafikie hatua ya kuoa sidhan km utakosa wa kufanana na ww kitabia mkikaa mnasikilizana
 
Katika vitu vigumu kulazimishwa humu duniani ni mapenzi, mtu kama hakupendi ni hupendwi tu hata ufanyeje it won't change, sana sana unajisogezea tu maumivu mbele, bora uutoe mwiba uliokuchoma sasa hivi kuliko kuendelea kusikilizia maumivu utoe kesho

Asante mkuu lakn nautoaje huu mwiba
 
Don't trust too much
Don't LOVE too much
Don't hope too much
.....because that too much
can hurt you so much
 
Asante mkuu darasan nipo vizur ila kutokana na hii hali najikuta nashindwa kusonga mbele na pia kuhusu kipato bado nawategemea wazaz wangu ambao wapo vzur japo sio saana na yote hayo anayafahamu na pia ni dem wangu wa pili na ninataman aje kuwa mke wangu.

Huyo nakuhakikishia hautakaa umwoe kwa sababu anakuona kama mko sawa, atakusumbua sana.

Na acha kabisa kuwaza kwenda kwa mganga, ongeza jitihada kwenye masomo yako, ukifanya vizuri sana atakuheshimu, na mafanikio yako ya mbeleni yatakupa mwelekeo wa kupata mwanamke mzuri anayekupa heshima unayostahili.

Soma kijana, mchukulie kama mpenzi wa kupitisha naye ujana, ikija mkaoana iwe bahati, ila ukianza kumpa ahadi za kuoana wakati yeye anajiona bado binti mbichi anaona unamzingua tu.
 
Wengn tushapita huko. Mdgo wang jivue gamba kiume,japo maumiv yake sio kidgo ila ni ya muda. Huyo mtaishia naye pabaya sana. Fumba macho kiume kwel kwel kaa pembeni. Jiweke tyr kuumia,ili maumiv yakianza usishangae. Wengi wamefel shule sabb y haya mambo. Zingatia.
Asante mkuu kuna mda nataman nijivue gamba ila kibaya zaid Nina kiapo nae licha ya hvo najarbu kila mara kujitoa lakn najikuta narud nyuma tena
 
He is too young to be stressed kiasi hicho. Afu he doesn't have to beg anybody to love him. I wish angejua thamani yake akaamua kujikeep busy na masomo yake Coz akidisco hapo ndo atadata vizuri na wala haitomuhusu mdada kabisa. Afu hadi nimecheka eti, aende kwa mganga ili apendwe Mmh. Sometimes; with age comes wisdom. Ngoja kwanza mapenzi yamuoneshe jinsi yalivyo, ndo anakomaa

Asante dada'angu sijawah kwenda kwa mganga ila mapenz yananifanya nifikirie vbaya
 
Asante dada'angu sijawah kwenda kwa mganga ila mapenz yananifanya nifikirie vbaya
Na wala hata yasikuchanganye hivyo mdogo angu ukapoteza focus na maisha yako. Inauma mnoo but jikaze, wewe ni mwanaume na jua thamani yako. Muache aende coz ni ngumu sana kumlazimisha mtu kukupenda
 
Waganga achana nao. Utajikuta umekuw mtumwa wa dawa ktk maisha yako yote. Yaache mambo km yalivyo.

Asante mkuu mi mwenywe sijawah kutaman kutumia hii njia kwenye maisha yangu ila mapenz yananifanya nifikirie labda naweza kupata msaada upande huo
 
Back
Top Bottom