sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,077
- 48,213
Hahaah nafikiri kungekuwa hakuna kulia, basi ningekuwa mjinga number moja duniani, (girls wengi tunapenda kulia na inatusaidia mno). Yani nisipolia siwezi kumove on kabisaaa. Nalia zangu + Naandika mgazeti huo. Nikitoka hapo mpyaaaa nacheka tu. Then siwezagi kuweka kinyongo au chuki, ukinikeraa sana nakupiga tu bonge la ignore. Yani Ukikutana na mimi nasmile tu, unaweza kuhisi labda sikuwahi kukupenda, kumbe ndo Nipo tu hivyo maskini
Mmmmmmh......
Alafu aina ya girls wakulia na kumaliza huwa wabaya mno, ukishageuka umegeuka huwa hawateterek na maamuz yao...dah wachezee tuu, siku wakisema noo..utajuta.
Uliwahi kupenda like this?