sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 21,042
- 48,159
Moyo wa hivi ni wa kuzaliwa nao nahisi aisee, mi sijafunzwa mahali bali niko hivyo hivyo since then
Kweli kwamba umezaliwa, ila vilevile inaweza kuwa ni aquired character
Moyo wa hivi ni wa kuzaliwa nao nahisi aisee, mi sijafunzwa mahali bali niko hivyo hivyo since then
Ha ahaa sasa mbona huyo binti yeye anafanya opposite....
Badala ya kupenda anadharau
Bro kwangu hazikuwa movie wala peer groups zilizonifanya Nile kiapo bal alitaka kitu cha tofaut kutoka kwangu na hapo ndo nikipokoseaNi hizi movies, plus peer groups wakikaa huko wanadanganyana na kushauriana mambo ya ajabu ajabu.
huon kiapo kimeshamharibu kisaikolojia
Jipe moyo utashinda teh
kwa upendo nilio nao juu yake nataman angeyaona MANENO hayaHuyo bado hajakua bado, subiri akutane na pasua kichwa atanyooka tu.
I always values the love of a man who loves me, na ikitokea mambo hayako sawa tunaagana kwa amani tu.
kwa upendo nilio nao juu yake nataman angeyaona MANENO haya
Huyo bado hajakua bado, subiri akutane na pasua kichwa atanyooka tu.
I always values the love of a man who loves me, na ikitokea mambo hayako sawa tunaagana kwa amani tu.
Huyo bado hajakua bado, subiri akutane na pasua kichwa atanyooka tu.
I always values the love of a man who loves me, na ikitokea mambo hayako sawa tunaagana kwa amani tu.
Hahaah nafikiri kungekuwa hakuna kulia, basi ningekuwa mjinga number moja duniani, (girls wengi tunapenda kulia na inatusaidia mno). Yani nisipolia siwezi kumove on kabisaaa. Nalia zangu + Naandika mgazeti huo. Nikitoka hapo mpyaaaa nacheka tu. Then siwezagi kuweka kinyongo au chuki, ukinikeraa sana nakupiga tu bonge la ignore. Yani Ukikutana na mimi nasmile tu, unaweza kuhisi labda sikuwahi kukupenda, kumbe ndo Nipo tu hivyo maskiniHahaaaa kuniliza mimi ufanye kazi aisee, kwanza hadi hatua ya kulizwa ifike bado nipo tu??!!! aaah wapi, nishamove on zamaniiiii
Ila simaanishi kuwa sisikiagi machungu, sema ni roho ngumu sana mi kulia, nasikitika tu ndani kwa ndani, then najianzia maisha yangu mapya, It's something inborn I think
Kijana nenda rum weka mziki mkubwa wa mapenz alafu lia sanaaaaa huku ukijiapiza kumuacha,,,, ukitoka hapo utakua na moyo mgumu na utaweza kumuacha kindakindaki
Huyo bado hajakua bado, subiri akutane na pasua kichwa atanyooka tu.
I always values the love of a man who loves me, na ikitokea mambo hayako sawa tunaagana kwa amani tu.
Nikiwaambia watu nina dada wazuri, wasema oooh unawapa sifa za buree!! hamna kitu wanapenda pesa tu hao!! Bora umesema mwenyewe dadaangu atoto, waje tu sasa watafute sababu nyingine
Na hapo bado Heaven Sent hajafunguka
Wazazi wanajua kuwa kuna mtu unampenda kuliko mtu yeyote dunia hii!!!!!!??????
Watu mnamawazo lool
Habari wana jamvi Mimi ni kijana wa miaka ishirin na mbili pia ni mwanachuo.Nimeleta uzi huu jamvin kwa lengo la kupata msaada utakao nisaidia kuondokana na maumivu haya.
Kuna bint mmoja nipo naye kwenye mahusiano ninampenda sana naweza kusema nampenda kuliko mtu yeyote chin ya jua hili na hata yeye unalitambua hilo,,,shida iliyopo ni kuwa c msikivu na ananichukulia poa sana licha ya kuwa unafanya meng kwa ajili yake lakn mwenzangu haonesh kujal hata kidogo anajimlia mambo yake mwenyewe bila hata kunishirikisha kama mme wake mtarijiwa
Kutokana na hal hiyo wakat mwngne nashindwa hata kusoma,kula na kufanya vitu vngine pia.Ninachokifikiria ni kwenda kwa mganga kumtafutia dawa kwa sababu siwez kumuacha na sitak kumuacha.Ila naomba mawazo yenu pia ili nijue ni kpi napaswa kufanya.
Natanguliza shukrani
Huyo atakuwa demu wako wa kwanza, ukiachana na huyo ukapata mwingine naye mkaachana utawazoea.
Huyo demu anakudharau kwa sababu anajua kipato chako, ikibidi hata uwezo wako kichwani anaudharau na ukute anaambiwa na watu kibao kwamba ni mzuri, anapata kiburi ndo maana anakuzingua.
Uwe unampa muda na punguza kumwaza zaidi, waza kufanikiwa kimasomo na kimaisha, hii itakujengea heshima kwake na kwa wengine utakao wakuta kitaa.
Mtaani/makazini kuna wanawake wazuri sana, huyo asikuzuzue.
Hahaah nafikiri kungekuwa hakuna kulia, basi ningekuwa mjinga number moja duniani, (girls wengi tunapenda kulia na inatusaidia mno). Yani nisipolia siwezi kumove on kabisaaa. Nalia zangu + Naandika mgazeti huo. Nikitoka hapo mpyaaaa nacheka tu. Then siwezagi kuweka kinyongo au chuki, ukinikeraa sana nakupiga tu bonge la ignore. Yani Ukikutana na mimi nasmile tu, unaweza kuhisi labda sikuwahi kukupenda, kumbe ndo Nipo tu hivyo maskini
Hatari unajua.....
Mtu kasahau hadi upendo wa mama yake mzazi!!!!
mimi nilipodharauliwa mara ya kwanza nilikuwa nikishinda beach huku nikisoma sana Vitabu na ilipokuwa inatokea nikakutana na Huyo binti nilikuwa nikimpita na hata alipojaribu kutaka kuweka ukaribu wa Kirafiki sikuwa na muda wa Kumpa hiyo nafasi... Nilihakikisha anaondoka katika kila kitu ninachokiwaza na kukifikiria... Nashukuru nilifanikiwa na kuendelea na Maisha mengine bila mapenzi
Hahah nakupa nyongeza 1, "I respect a man who respects me when I'm not around".Nikiwaambia watu nina dada wazuri, wasema oooh unawapa sifa za buree!! hamna kitu wanapenda pesa tu hao!! Bora umesema mwenyewe dadaangu atoto, waje tu sasa watafute sababu nyingine
Na hapo bado Heaven Sent hajafunguka
Na ni tiba ambayo imenisaidia sana N inaendelea kunisaidia kila siku maishani mwanguKulia kuna saidia sana sana,, ni tiba nzuri sana kwa kupunguza au kuondoa maumivu ya moyo,,