Nifanyeje ili niondokane na maumivu haya?

Onyesha kutokujali na jaribu kujiweka katika Hali ya kawaida.. Ukiendelea kuonyesha Unyonge ataichukulia hali hiyo kama Fimbo Ya kuendelea kukuchapia...
Asante sana bro MANENO yako yananipa nguvu sana huwez kuamin asante sana
 
kuwaamini wasichana wa siku hizi nakufanya kitu kama ulichokifanya wewe ni Upuuzi ndugu... Mwanamke mwenye Upendo wa Kweli ni Mama Yako Mzazi tu
Mwanzon nikisikia hv nilikuqa naona kama utan lakin sa hv najionea mwenyewe
 
Asante sana bro MANENO yako yananipa nguvu sana huwez kuamin asante sana

Usijali ndugu Yangu hata mimi nilipitia hayo na hata masomo nikaharibu sababu ya Mapenzi.. Nimejifunza kukubali kushindwa pale ninapoona mapenzi Yanaichukua Furaha Yangu na kuniondolea kufanya kile ambacho kingeniletea maendeleo...
 
Damu ipi? Watoto mna mabalaa nyie. Mfate kiongozi wa dini yako muelezee akusaidie kuondoa hicho kiapo. Msiwe mnafanya maamuzi magumu hivyo kisa tu mihemuko

Huyu dogo kumbe yuko serious hivi, duuuh hadi wanarambana damu eti kiapo cha kupendana pasipo kuachana!!!
 
Bhado ananijia nikilala haki ya mungu si masihara. ...brodah just let her go..the same issue ilinitokea juzi tu apa nika shit na ss iv um happy as I can ever be..ila pole
 
MP hiyo aliyolamba
Mmh acha bana daah
Huyu dogo kumbe yuko serious hivi, duuuh hadi wanarambana damu eti kiapo cha kupendana pasipo kuachana!!!
We really need to talk to our little ones. Mapenzi yanaweza kukufanya ukafanya maamuzi ambayo baadaye utakuja kujutia mnooo. Leo umeamka tu mtu kakufurahisha basi mnaamua kunyonyana damu, wanaona ni kitu kidogo while wamejitengenezea bomu kubwa. Kuna mtu ashawahi kuniambia Ogopa kufanya maamuzi ukiwa emotional; una furaha sana au una hasira sana. Sasa hawa mahaba siku mbili yamekolea wanaapa eti hatutaachana milele mmmh
 
Niliapa kumpenda daima tena nikaramba na damu yake

Khaaaaaaa!!!!!!!!

Haya mapenzi ya hivi hadi shetani anayaogopa!!!!!

Wekeza akili yako kwenye masomo, waza jinsi wazazi wako wanavyohangaika kukusomesha. Yeye ni nani hadi akuumize kiasi hicho.

Mwanamke wa kumpenda kuliko mtu yeyote dunia hii ni MAMA YAKO MZAZI.

Mmekutana wote ukubwani halafu akuendeshe kama gari bovu??????

Ukishajua kwanini upo hapo chuo, huyo mwanamke hatakusumbua.
 
Mmh acha bana daah

We really need to talk to our little ones. Mapenzi yanaweza kukufanya ukafanya maamuzi ambayo baadaye utakuja kujutia mnooo. Leo umeamka tu mtu kakufurahisha basi mnaamua kunyonyana damu, wanaona ni kitu kidogo while wamejitengenezea bomu kubwa. Kuna mtu ashawahi kuniambia Ogopa kufanya maamuzi ukiwa emotional; una furaha sana au una hasira sana. Sasa hawa mahaba siku mbili yamekolea wanaapa eti hatutaachana milele mmmh

Dada nasoma MANENO yako mpka machoz yananitoka sina cha kukulipa zaid ya kusema asante.Asante sana kwa kunijal kias hik thank you.
 
Kuongea tunaongea nao sana tu, tatizo ni kukubaliana na unachomwambia. Vijana wa dot.com ni shida balaaa, na hizi smartphone zao ndo kabisaaa, wana kazi ya kutumiana viungo vya uzazi tu!!
 
Khaaaaaaa!!!!!!!!

Haya mapenzi ya hivi hadi shetani anayaogopa!!!!!

Wekeza akili yako kwenye masomo, waza jinsi wazazi wako wanavyohangaika kukusomesha. Yeye ni nani hadi akuumize kiasi hicho.

Mwanamke wa kumpenda kuliko mtu yeyote dunia hii ni MAMA YAKO MZAZI.

Mmekutana wote ukubwani halafu akuendeshe kama gari bovu??????

Ukishajua kwanini upo hapo chuo, huyo mwanamke hatakusumbua.

Asante Luv asant kwa ushaur wako huwa najuta hata kwa nm nilipenda.
 
Bhado ananijia nikilala haki ya mungu si masihara. ...brodah just let her go..the same issue ilinitokea juzi tu apa nika shit na ss iv um happy as I can ever be..ila pole
Thanks bro ntajitahid nifikie hatua kama yako
 
Dada nasoma MANENO yako mpka machoz yananitoka sina cha kukulipa zaid ya kusema asante.Asante sana kwa kunijal kias hik thank you.
You welcome lil broo. Please take a step. Usiruhusu mtu akuharibie furaha yako wala mipango yako kwa kukustress. Sometimes Ukiona kitu hakikusaidii chochote rather than kukukwamisha na kukurudisha nyuma, kiache kiende. Wewe bado mdogo sana, your whole future is ahead of you. Concentrate na masomo yako kwa sasa, hilo tu
 
Back
Top Bottom