Nifanyeje ili niondokane na maumivu haya?

Nifanyeje ili niondokane na maumivu haya?

Hahaaa makavu laivu katachanganyikiwa mkuu, bado kavulana sana twende nako aste aste

Kweli kabisa....hivi wewe uliwahi kuingia katika mtego ka huu? Unapenda kuliko chochote? Chini ya jua
 
Kweli kabisa....hivi wewe uliwahi kuingia katika mtego ka huu? Unapenda kuliko chochote? Chini ya jua

Mmh mi mpole lakini nina roho ngumu sana kwenye mapenzi huwezi amini aisee, halafu mwepesi sana wa kukata tamaa na kumove on ukinizingua, nadhani hii spirit ilinisaidia sana kutoyumbishwa na mapenzi
 
Mistake is a single page of life but relation is a complete book...😉 So don?t lose a full book for a single page...😀
 
Hakuna jinsi

Sijui nani anawaambiaga wafanye hivyo mmh

Ni hizi movies, plus peer groups wakikaa huko wanadanganyana na kushauriana mambo ya ajabu ajabu.
huon kiapo kimeshamharibu kisaikolojia
 
Mmh mi mpole lakini nina roho ngumu sana kwenye mapenzi huwezi amini aisee, halafu mwepesi sana wa kukata tamaa na kumove on ukinizingua, nadhani hii spirit ilinisaidia sana kutoyumbishwa na mapenzi
Hihihi that's my kaka. Wish ningekuona enzi zako unalizwa
 
Mmh mi mpole lakini nina roho ngumu sana kwenye mapenzi huwezi amini aisee, halafu mwepesi sana wa kukata tamaa na kumove on ukinizingua, nadhani hii spirit ilinisaidia sana kutoyumbishwa na mapenzi

Kweli kabisa. Hata huyu kijana anahitaji moyo kama huo. Wa kubadilika kuacha kung'ang'ania sehemu unayoteswa
 
Hihihi that's my kaka. Wish ningekuona enzi zako unalizwa

Hahaaaa kuniliza mimi ufanye kazi aisee, kwanza hadi hatua ya kulizwa ifike bado nipo tu??!!! aaah wapi, nishamove on zamaniiiii

Ila simaanishi kuwa sisikiagi machungu, sema ni roho ngumu sana mi kulia, nasikitika tu ndani kwa ndani, then najianzia maisha yangu mapya, It's something inborn I think
 
Kweli kabisa. Hata huyu kijana anahitaji moyo kama huo. Wa kubadilika kuacha kung'ang'ania sehemu unayoteswa

Moyo wa hivi ni wa kuzaliwa nao nahisi aisee, mi sijafunzwa mahali bali niko hivyo hivyo since then
 
hisia katika moyo wako haziwezi kuishi milele tena kwa mtu ambaye haonyeshi kukujali wala hata kukuwaza. Kusema utautoaje mwiba katika Moyo Wako nikukubali kuwa umeshindwa kitu ambacho ni kosa sana.

Hujazaliwa ukiwa nae bali ulimkuta tu.
Hakuzaliwa akiwa moyoni mwako bali ulikutana nae kila mtu akiwa na Akili zake..

Unaposimama na kusema unampenda kuliko mtu yoyote chini ya Jua ni Sawa na kumtusi mama Yako mzazi ambaye ndio aliyekuzaa na Kukufanya ukutane na Huyu mwanamke.

Ni dharau kubwa sana kuishusha thamani ya mzazi wako sababu ya Mwanamke tena mwanamke ambaye ameshindwa kuyaona Wala Kuyahurumia machozi Yako.

Mama unapoumia wewe naye huumia

unapolia na kuumizwa naye huumia pia

unaponyanyaswa na kusimangwa, yeye husimama upande wako..

Hulia na wewe na daima husimama na wewe...

Ondoa mawazo juu yake huyo mwanamke na jaribu kuupoteza muda wako kwa kuyafikiria masomo yako...

Siku Shauri uendelee na Huyo kwani natambua madhara yake na Mimi nilikuwa ni Mhanga wa tukio kama Hilo

Daah Ibra87 umeongea jambo zito na la maana sana,,, nadhan kakuelewa
 
Back
Top Bottom