Nifanye nini Ili nisimpoteze

Nifanye nini Ili nisimpoteze

Unaonekana limbukeni wa wanawake! Alafu Ukute ndo kwanza unakaa kwenye chumba kimoja ila unaendekeza hisia za mapenzi! Ungekuwa una hela unadhani baba yake angekohoa??
Mtoto bado mwanafunzi huyo isitoshe alipigaga one o level hvo kama mzazi lazima awe na uchungu na mtoto wake ,kwahyo wewe binti Yako wa kike akipata mshkaj mwenye hela unakausha hata kama Bint ajamaliza shule
 
Sasa kama unajua binti hajamaliza shule kwanini unaanzisha nae mahusiano wewe utakubali mwanao awe na mahusiano akiwa shule tena na kijana mwenye akili za kitoto kama za kwako?? Yani unaanzisha kabisa thread ya kuomba ushauri nini ufanye usiachwe na mwanafunzi?? We chuo unaonekana ulikuwa unapiga nyeto! Kua acha utoto!
 
Wakuu kwema ,naombeni ushauri Niko kwenye mahusiano na binti age 20 Kwa sasa na ni Yuko advance huko mkoani,Mimi Niko dar ,huyu Binti ameonekana kunipenda sana na Mimi nampenda pia ,pia nashukuru Mimi ndio mwanaume wake kwanza Binti pia anamalengo ya kuja kuanzisha familia na Mimi coz Kwa sasa Nina miaka 25 na najitambua kabisa na Kuna mbaga nafanya baada ya kuona kufatilia ajira za serikali ni michosho
Je nizidi kumsubiri Binti aje kuwa my wife?
Au nianzishe niwe na mwingne tu maana Binti ana miaka kama mitano hivi ya elimu ,Japo kwao mama ake na baadhi ndugu zake wananijua ila Mzee wake ndio mkaksi alitaka kuniletea noma ila nashukuru Mungu nilitoka salama
Thus ;naombeni ushauri wenu apo nifanye nini ili Binti nisimpoteze hizi apa texts zake 👇🏾hizo xx , baby wangu bado sio mjanja mjanja😂😂😂

Mkuu, kwanini anatoa lainiii kwenye simu?

Umemsave mke wangu masikini 🤦‍♀️
 
Sasa kama unajua binti hajamaliza shule kwanini unaanzisha nae mahusiano wewe utakubali mwanao awe na mahusiano akiwa shule tena na kijana mwenye akili za kitoto kama za kwako?? Yani unaanzisha kabisa thread ya kuomba ushauri nini ufanye usiachwe na mwanafunzi?? We chuo unaonekana ulikuwa unapiga nyeto! Kua acha utoto!
Kuna sehemu ukifika utaangalia Kuna wa kupita na Kuna wa malengo
 
Nimecheka sana hizo ahadi zenu. Karibia kila mtu mwanaume kapitia hiyo phase. Ukweli ni kua mwanamke wa utotoni au uliyeanza nae ujana hua hamuoani kutokana na jinsi structure ya maisha ya mafanikio ya mwanaume zilivyo. Kiufupi doho unapoteza muda wako hapo.

Hata mimi zimenichekesha chats zao
Gen Z wamekutana kwenye ahadi hewa
 
Back
Top Bottom