Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,545
- 97,923
🤣🤣Sio majungu dogo mshamba sana na utakuta hizo sms anazisoma basi hadi usingizi anakosa! Lakini cha ajabu ana 25 years!
🤣🤣Sio majungu dogo mshamba sana na utakuta hizo sms anazisoma basi hadi usingizi anakosa! Lakini cha ajabu ana 25 years!
Na umesevu 'my wife' kabisaaa!Kuna sehemu ukifika mkuu unazama deep
Maisha ndio haya haya mkuu we live onceNa umesevu 'my wife' kabisaaa!
Anyway, nauza sumu na kamba laini zinazoua kwa haraka na bila mateso makali. Usitapeliwe kwa kuuziwa sumu za panya, sumu za wadudu mashambani, maji ya betri, au kamba za mbuzi na kudu, hakuna rangi utaacha ona.
Huwa tunasemaga hivi lakini mbeleni ni majutoMimi pia ni msomi hvo Niko nae makini siwezi kumuharibia
Kwamba atabadilika?Huwa tunasemaga hivi lakini mbeleni ni majuto
Baba mkwe kaninunia kasema nikileta ujinga atanivunja miguu 😂Mfuate baba mkwe wako nenda kamueleze hayo mkuu.
Inategemeana kama umechukua kicheche😂😂Kila mwanaume lazima aonje joto la jiwe ni suala la muda tu
Ngoja tuone itakavyokuwa ila wanawake ni waigizaji sana.Akifika tu chuo first yr huna chako
Akili kichwani
😆😆😆Kijana ....hizo sisi wengine tumeandikiana sana, hadi kula Yamini lakini Leo hii...😅🤦🏿tafuta pesa tafuta pesa watakuja wenyewe
ushauri kuta unataftia mahali pa kuliliaInategemeana kama umechukua kicheche
Na hivi mnaitana mke sijui mume woooi hamna kitu hapo...time will tell😅😅Dua la kuku Hilo mkuu😂😂
Pesa natafuta mkuu ila kama Mtu amekupenda mpe.nafas akizingua unapita kushoto😆😆😆Kijana ....hizo sisi wengine tumeandikiana sana, hadi kula Yamini lakini Leo hii...😅🤦🏿tafuta pesa tafuta pesa watakuja wenyewe
Wivu ,Mungu akipanda hakuna anaeweza pangua😂😂Na hivi mnaitana mke sijui mume woooi hamna kitu hapo...time will tell😅😅
Ndivyo ilivyoKwamba atabadilika?
Ngoja tuone itakavyokuwaNdivyo ilivyo
SawaNgoja tuone itakavyokuwa