Nifanye nini Ili nisimpoteze

Nifanye nini Ili nisimpoteze

Cha msingi ni Dua tu hapo kama ni mpango wa Mungu atabariki
Kwanza huyo Mungu hayupo. Na hakuna mpango wa Mungu kwa yeyote na chochote.

Pili hakuna dua wala sala yoyote ya kubadilisha chochote.

Binadamu hatabiriki kwa sababu ni kiumbe anayeweza kubadilika muda wowote na wakati wowote anapopata mtu au sehemu yenye maslahi zaidi kwake.

Hata huyo binti, akikutana na mtu mwenye pesa zaidi yako akamtongoza, atakuacha tu.
 
Kwahyo unanishauri niwe 50/50 auco?
 
Hahah majungu kibao ,Kuna baadhi ya mabinti inabidi uende nao vile wanavyohitaji hujawahi ona Mzee wa miaka 45 anachat na kitoto Cha miaka 20 sexchatt ,mapenzi hayaangalii experience
Sure (kabisa).
Me nakusapoti mdogo wangu, sema usiweke 100% kwamba utakuja kumuoa, at least weka asilimia 60, maana hawa viumbe hawatabiliki, unaweza shangaa anakutana na mwanaume mwingine huko mwenye maisha yake mazuri anaolewa.
Kumbuka wanawake wana kitu kinaitwa biological clock maana kwamba wanataka kupata vitu mfano watoto wakiwa katika umri fulani. Maana kwamba akitutana na mtu anajiweza kiuchumi anaolewa nae ili apate (mfano watoto) nk akiwa na umri fulani.
Lakini sisi wanaume tunakitu kinaitwa financial clock (uwezo wa kukidhi mahitaji ya kiuchumi) maana kwamba huyo mwanamke (msichana) mfano akimaliza chuo akiwa na miaka 25 anakuwa tayari yuko matured kwaajili ya kuolewa lakini wewe bahati mbaya mfano bado haujapita hiyo financial clock (uwezo wa kumuhudumia) guess what anakuacha anaenda kuolewa ili tu atimize ile biological clock.

Kumbuka ukomavu wa kiakili (maturity) kwa mwanamke unaanzia miaka 25. Lakini ukomavu wa kiakili kwa mwanaume ni miaka 35.
 
Wakuu kwema ,naombeni ushauri Niko kwenye mahusiano na binti age 20 Kwa sasa na ni Yuko advance huko mkoani,Mimi Niko dar ,huyu Binti ameonekana kunipenda sana na Mimi nampenda pia ,pia nashukuru Mimi ndio mwanaume wake kwanza Binti pia anamalengo ya kuja kuanzisha familia na Mimi coz Kwa sasa Nina miaka 25 na najitambua kabisa na Kuna mbaga nafanya baada ya kuona kufatilia ajira za serikali ni michosho
Je nizidi kumsubiri Binti aje kuwa my wife?
Au nianzishe niwe na mwingne tu maana Binti ana miaka kama mitano hivi ya elimu ,Japo kwao mama ake na baadhi ndugu zake wananijua ila Mzee wake ndio mkaksi alitaka kuniletea noma ila nashukuru Mungu nilitoka salama
Thus ;naombeni ushauri wenu apo nifanye nini ili Binti nisimpoteze hizi apa texts zake 👇🏾hizo xx , baby wangu bado sio mjanja mjanja😂😂😂
Kusubiri binti wa chuo ni sawa na kusubiri meli railway station..
Maumivu makubwa mkuu usinikumbushe majonzi..
 
Sure (kabisa).
Me nakusapoti mdogo wangu, sema usiweke 100% kwamba utakuja kumuoa, at least weka asilimia 60, maana hawa viumbe hawatabiliki, unaweza shangaa anakutana na mwanaume mwingine huko mwenye maisha yake mazuri anaolewa.
Kumbuka wanawake wana kitu kinaitwa biological clock maana kwamba wanataka kupata vitu mfano watoto wakiwa katika umri fulani. Maana kwamba akitutana na mtu anajiweza kiuchumi anaolewa nae ili apate (mfano watoto) nk akiwa na umri fulani.
Lakini sisi wanaume tunakitu kinaitwa financial clock (uwezo wa kukidhi mahitaji ya kiuchumi) maana kwamba huyo mwanamke (msichana) mfano akimaliza chuo akiwa na miaka 25 anakuwa tayari yuko matured kwaajili ya kuolewa lakini wewe bahati mbaya mfano bado haujapita hiyo financial clock (uwezo wa kumuhudumia) guess what anakuacha anaenda kuolewa ili tu atimize ile biological clock.

Kumbuka ukomavu wa kiakili (maturity) kwa mwanamke unaanzia miaka 25. Lakini ukomavu wa kiakili kwa mwanaume ni miaka 35.
Nakubali sana shukrani sana 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
 
Unaonekana limbukeni wa wanawake! Alafu Ukute ndo kwanza unakaa kwenye chumba kimoja ila unaendekeza hisia za mapenzi! Ungekuwa una hela unadhani baba yake angekohoa??
 
Skia akimaliza tu six akuzalie, afu next year azame chuo, bila hivo akienda chuo atakusahau mze,just my view.
 
Back
Top Bottom