Dodoma comfort
JF-Expert Member
- Apr 20, 2024
- 456
- 798
- Thread starter
- #61
Nitajirekebisha mkuu🙏🏾🙏🏾We unazingua bhana miaka 25 huwezi kuwa hivo situka amini nakwambia
Nitajirekebisha mkuu🙏🏾🙏🏾We unazingua bhana miaka 25 huwezi kuwa hivo situka amini nakwambia
Mapenzi matamu mkuu ,ukiwa na yule anaekupenda Kwa dhati😂😂Kwa hiyo unatulingishia wakubwa zako siyo! Vijana wa siku hizi ni watata sana.
Ujinga mtupuWakuu kwema ,naombeni ushauri Niko kwenye mahusiano na binti age 20 Kwa sasa na ni Yuko advance huko mkoani,Mimi Niko dar ,huyu Binti ameonekana kunipenda sana na Mimi nampenda pia ,pia nashukuru Mimi ndio mwanaume wake kwanza Binti pia anamalengo ya kuja kuanzisha familia na Mimi coz Kwa sasa Nina miaka 25 na najitambua kabisa na Kuna mbaga nafanya baada ya kuona kufatilia ajira za serikali ni michosho
Je nizidi kumsubiri Binti aje kuwa my wife?
Au nianzishe niwe na mwingne tu maana Binti ana miaka kama mitano hivi ya elimu ,Japo kwao mama ake na baadhi ndugu zake wananijua ila Mzee wake ndio mkaksi alitaka kuniletea noma ila nashukuru Mungu nilitoka salama
Thus ;naombeni ushauri wenu apo nifanye nini ili Binti nisimpoteze hizi apa texts zake 👇🏾hizo xx , baby wangu bado sio mjanja mjanja😂😂😂
Hiki ni kitu gani jamani nakutana nacho mshangazi mimi😄
Tafuta hela mdogo wangu. 25 years unataka kuwa babaWakuu kwema ,naombeni ushauri Niko kwenye mahusiano na binti age 20 Kwa sasa na ni Yuko advance huko mkoani,Mimi Niko dar ,huyu Binti ameonekana kunipenda sana na Mimi nampenda pia ,pia nashukuru Mimi ndio mwanaume wake kwanza Binti pia anamalengo ya kuja kuanzisha familia na Mimi coz Kwa sasa Nina miaka 25 na najitambua kabisa na Kuna mbaga nafanya baada ya kuona kufatilia ajira za serikali ni michosho
Je nizidi kumsubiri Binti aje kuwa my wife?
Au nianzishe niwe na mwingne tu maana Binti ana miaka kama mitano hivi ya elimu ,Japo kwao mama ake na baadhi ndugu zake wananijua ila Mzee wake ndio mkaksi alitaka kuniletea noma ila nashukuru Mungu nilitoka salama
Thus ;naombeni ushauri wenu apo nifanye nini ili Binti nisimpoteze hizi apa texts zake 👇🏾hizo xx , baby wangu bado sio mjanja mjanja😂😂😂
Sawa Mzee wa chaiUjinga mtupu
Mtu anayeandika xx badala ya sasa.
Yaah hela natafuta sana mkuu ,,Niko namfikiria huyo mwali tutakapofikiaTafuta hela mdogo wangu. 25 years unataka kuwa baba
SI mlisema tuoe bikra kwahyo Hadi bikra wanabadilika nao😂😂Mtu anayeandika xx badala ya sasa.
N ww 2 badala ya ni wewe tu.
Sw, tuciachn badala ya sawa tusiachane.
Huyu binti bado ni mtoto na bado ana akili za utoto. Bado ana yale mapenzi ya kwenye muvi na kishule shule.
Hapa ana act tu kwa sababu akili yake ipo kishule shule bado.
Akikua kua kidogo na kufika chuoni akaona uhalisia wa mapenzi na kuanzisha familia kulivyo.
Hapo utaachwa mchana kweupe!
Kwa herufi kubwa Tena rangi nyekunduUSIMSOMESHE
hongeraAnanirudisha utotoni😂😂
Anaemsomesha ni baba ake sio mimiKwa herufi kubwa Tena rangi nyekundu
Binadamu yeyote yule huweza kubadilika muda wowote ule.SI mlisema tuoe bikra kwahyo Hadi bikra wanabadilika nao😂😂
Kwahyo nitakuwa msindikizaji mkuu aucoUoifaa kuwa Ng'ombe kwenye mradi wa Bashe.
Jikute Alehandro hivyo hivyo anko.
Tafuta hela, focus na maisha kwanza. Huyo mamsi wote hamjawa matured acheni kudanganyana na kupeana ahadi za uongo. Think of marriage when you have proper financial grounds. Ndoa sio hisia ni majukumu na maturity. Nyie kaeni endekezeni hisia.Yaah hela natafuta sana mkuu ,,Niko namfikiria huyo mwali tutakapofikia
Yaah hela natafuta sana mkuu ,,Niko namfikiria huyo
Cha msingi ni Dua tu hapo kama ni mpango wa Mungu atabarikiBinadamu yeyote yule huweza kubadilika muda wowote ule.
Wewe ushapewa tahadhari usiposikiliza ni wewe tuAnaemsomesha ni baba ake sio mimi
Muda ninao wa kupambana , Mungu anasaidia Hadi tukifikia hiko kilele nitakuwa na uhakika zaidiTafuta hela, focus na maisha kwanza. Huyo mamsi wote hamjawa matured acheni kudanganyana na kupeana ahadi za uongo. Think of marriage when you have proper financial grounds. Ndoa sio hisia ni majukumu na maturity. Nyie kaeni endekezeni hisia
Ni Mwanafunzi bado lakini..Jinsi anavyoandika enewei tusubiri