Dodoma comfort
JF-Expert Member
- Apr 20, 2024
- 468
- 846
- Thread starter
- #21
Wapo wanaofika na wanatulia ni kujiheshimu tu mkuuHuyo akiingia pale mlimani au pale ng'ong'ona basi sahau kama una mke tena
Wapo wanaofika na wanatulia ni kujiheshimu tu mkuuHuyo akiingia pale mlimani au pale ng'ong'ona basi sahau kama una mke tena
😂😂😂 Vina muda basiiiiiDua la kuku Hilo mkuu😂😂
Sina lengo la kumchezea alaf miaka 20 mbn anajielewa kabisaTafuta vitu vya kufanya achana na hyo bint
Almost 85% wanaharibikia kwenye taasisi ya elimu ya juu, kule kutokana na uhuru na treatments iliyopo, wengi hubadilika na hata kuwatosa watu waliowekeana nao ahadi, kiufupi usimpe percentage kubwa kuwa atakuwa wako, expect lolote kutokeaWapo wanaofika na wanatulia ni kujiheshimu tu mkuu
Nimeamini ule msemo unaosema muhuni akipenda Hadi kibanda anajenga😂😂😂😂😂 Vina muda basiiiii
Ni kweli mkuu apo ni kuwa makini tuAlmost 85% wanaharibikia kwenye taasisi ya elimu ya juu, kule kutokana na uhuru na treatments iliyopo, wengi hubadilika na hata kuwatosa watu waliowekeana nao ahadi, kiufupi usimpe percentage kubwa kuwa atakuwa wako, expect lolote kutokea
Miaka 25 una mawazo kama hayo? hata charts zako ni kama za kwangu nilipokuwa na miaka 15! Ok any way hiyo ni mihemko tu dogo janja wala mapenzi menyewe hayapo ivo na hata yakiwa yenyewe mapenzi yanageuka any time na kusahau ngojera zenu hizoWakuu kwema ,naombeni ushauri Niko kwenye mahusiano na binti age 20 Kwa sasa na ni Yuko advance huko mkoani,Mimi Niko dar ,huyu Binti ameonekana kunipenda sana na Mimi nampenda pia ,pia nashukuru Mimi ndio mwanaume wake kwanza Binti pia anamalengo ya kuja kuanzisha familia na Mimi coz Kwa sasa Nina miaka 25 na najitambua kabisa na Kuna mbaga nafanya baada ya kuona kufatilia ajira za serikali ni michosho
Je nizidi kumsubiri Binti aje kuwa my wife?
Au nianzishe niwe na mwingne tu maana Binti ana miaka kama mitano hivi ya elimu ,Japo kwao mama ake na baadhi ndugu zake wananijua ila Mzee wake ndio mkaksi alitaka kuniletea noma ila nashukuru Mungu nilitoka salama
Thus ;naombeni ushauri wenu apo nifanye nini ili Binti nisimpoteze hizi apa texts zake 👇🏾hizo xx , baby wangu bado sio mjanja mjanja😂😂😂
Yani Lisu yuko magereza,wewe unafanya ungese
Yani Lisu yuko magereza,wewe unafanya ungese?
Napambania kombe kaka😂😂Yani Lisu yuko magereza,wewe unafanya ungese?
Sijaanza nae huyo nimekuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti ila huyo ndio amenifanya niwe hvo coz yeye ndio ameanza na mimiNimecheka sana hizo ahadi zenu. Karibia kila mtu mwanaume kapitia hiyo phase. Ukweli ni kua mwanamke wa utotoni au uliyeanza nae ujana hua hamuoani kutokana na jinsi structure ya maisha ya mafanikio ya mwanaume zilivyo. Kiufupi doho unapoteza muda wako hapo.
Kila la heri na mwenzioNi kweli mkuu apo ni kuwa makini tu
Wabongo tunachelewa sana kukomaa kiakili aisee yaani mtu wa miaka 25 na 20 bado mnachati ivi na bila aibu eti unatuwekea charts zenu humu? Yamal tu ni mdogo kwenu wote lakini hajawahi kuanika charting zake kama hivi? Ulishindwa tu kutuomba ushauri hadi uweke charts zenu? Huuu ni ujinga dogo na sijui kama hiyo elimu inakusaidia
Hahah majungu kibao ,Kuna baadhi ya mabinti inabidi uende nao vile wanavyohitaji hujawahi ona Mzee wa miaka 45 anachat na kitoto Cha miaka 20 sexchatt ,mapenzi hayaangalii experienceMiaka 25 una mawazo kama hayo? hata charts zako ni kama za kwangu nilipokuwa na miaka 15! Ok any way hiyo ni mihemko tu dogo janja wala mapenzi menyewe hayapo ivo na hata yakiwa yenyewe mapenzi yanageuka any time na kusahau ngojera zenu hizo
Ngoja ajue kuandika vizuri huyu jamaa atajuta 😂Demu wako anaandika kama anakimbizwa 😂
Kaka humu tunatumia fake ids hivo acha tufanye vile inaona inafaaWabongo tunachelewa sana kukomaa kiakili aisee yaani mtu wa miaka 25 na 20 bado mnachati ivi na bila aibu eti unatuwekea charts zenu humu? Yamal tu ni mdogo kwenu wote lakini hajawahi kuanika charting zake kama hivi? Ulishindwa tu kutuomba ushauri hadi uweke charts zenu? Huuu ni ujinga dogo na sijui kama hiyo elimu inakusaidia
NakaziaMuache huyo binti asome, angekuwa binti yako ungekubali hicho unachokifanya afanyiwe?
Mimi zangu Dua tuNgoja ajue kuandika vizuri huyu jamaa atajuta 😂
Sio majungu dogo mshamba sana na utakuta hizo sms anazisoma basi hadi usingizi anakosa! Lakini cha ajabu ana 25 years!Hahah majungu kibao ,Kuna baadhi ya mabinti inabidi uende nao vile wanavyohitaji hujawahi ona Mzee wa miaka 45 anachat na kitoto Cha miaka 20 sexchatt ,mapenzi hayaangalii experience