MtotoKautaka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 379
- 910
Habari yenu ndugu zangu.
Niende kwenye mada.
Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa.
Sasa mwaka jana mwezi wa 6 nilipata transfer nikahamia mkoa mwingine (Kaskazini hukuhuku).
Sikuweza kuhama na mchumba wangu kwasababu hatukuwa tunaishi pamoja hata hapo awali na alikuwa na mishe zake anafanya kwahyo nikamuacha huko mkoani (nilipohamia ni mkoa jirani tu na alipo yeye).
Sasa mwezi wa 9 nikakutana na binti mmoja katika mazingira ambayo yalifanya tubadilishane namba na hatimaye tukaanza kuwasiliana na kujikita tupo kwenye mahusiano ya rasharasha.
Kadri siku zilivokuwa zinaenda mapenzi yakaanza kukolea.
Wiki iliyopita alianza kunambia anajisikia vibaya mara kichwa mara kichefu chefu mara tumbo.
Majuzi kaenda kupima kaambiwa ana mimba ya wiki mbili kasoro na highly probably ni mimba yangu kwahesabu nilizopiga na hata hivo binti hana mambo mengi.
Nipo nawaza mchumba wangu itakuwaje, ananipenda nampenda hajanikosea anajua kabisa ni lazima nitamuoa na tayari huku binti naye nishampa ujauzito na yeye ananipenda sana tu sielewi cha kufanya.
Binti kashaanza kusema mimba hatoi na ofcourse na mimi sitaki aitoe kibaya zaidi anasema anahitaji kupajua kwetu na kujua ndugu zangu in case ikitokea lolote basi ajue anaanzia wapi.
Huyu mchumba wangu simu kila mara sijui kanusa nini yani simu na meseji ni almost kila muda na huyu Binti nilichokosea sikumwambia kwamba nina mchumba na tuna mpango wa kuja kufunga ndoa.
Plz naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair.
UPDATES
Jana nimeamua kumuweka wazi huyu mwenye mimba na nimemwambia kuwa nina mchumba wangu ambaye tunamipango ya ndoa hapo mbeleni kidogo.
Aseee hii kitu haikuwa rahisi kwasabab toka juzi hakauki nyumbani kwangu kwahyo toka juzi usiku mchumba wangu anapiga simu ila nakuwa siwez kupokea kwasabab mama kijacho yupo namm Sako Kwa bako.
Sasa jana mida ya saa mbili na nusu nikamwambia twende dinner tukatembea tu Kwa mguu hatukwendaa mbali, kuna restaurant hapa karibu tukala dinner.
Mida ya saatatu na nusu tukaanza kurudi home ila moyo unauma sana toka juzi sikuwa napokea cm za mchumba usiku labda mchana tu wakata napokua job ndo nakuwa free ila nikirudi home nayeye anakuwa kashatok job kwake nikitia mguu na yeye huyo kwahyo usiku toka juzi sikuweza kuongea na mchumba na alianza kulalamika sana.
Wakati wa kurudi nikaona ni muda wa kuongea na mchumba nikamzuga tulivokaribia home nikamuomba nipite club flani hapa jirani nicheze pool table hata michezo miwili then nitamkuta ndani.
Mama kijacho ukakubali kumbe alikuwa kanistukia, kaenda kaishia getin Kwa ndani amesimama ananiskilizia, nikapiga cm nikaanza kuongea naye huku naelekea home nikafikia nje ya geti nikasimama huku naongea japo nilikuwa naongea sauti ya chini.
Niliongea naye Kwa kama dk 30 hivi nikazama ndani nafika namkuta kavimba huku analia bas mimi nikionaga machozi ya mwanamke natamani namm nilie.
Nikaanza kumuliza what's wrong kanichana makavu kwamba kasikia mazungumzo yote.
Akasema hakuna shida mimba so ugonjwa atabeba miezi 9 na akimzaa mtoto ataniletea mimi nimlee na huyo mchumba nilienaye.
Nikaona hakuna haja ya kumficha nikamwambia ukweli ila kifupi mechi ilikuwa ngumu sana na tulilala saa tisa kasoro muda wote nilikuwa namcomfort aache kulia na awe sawa.
Nashukuru Mungu alinielewa na tuliweza kulala mpka asubuhi na kila mtu akaenda kazini mpka now tunaongea ila bado anasema anamaumivu sana na hajui nini hatima ya hii kitu.
Nimepanga weekend hii nisafr niende Kwa mchumba nitajua naenda kuongea naye nini maana sielew kabisa nahisi kuchanganyikiwa sipendi kuona mwanamke anaumia just bcz of me nachukia hicho kitu nakichukia kupita kiasi.
Nitawapa updates na kama kuna ushauri zaidi naomba mnisaidie maana hali so shwari kabisa it's not easy kama mnavoweza kulichukulia. Ushauri wenu ni kitu muhimu sana