Nifanye nini Ili nisimpoteze

Nifanye nini Ili nisimpoteze

Be careful jamaa Binti Bado mdogo hajaanza kuwajua waulimwengu ngoja aende chuo kwanza first year utani kuja kuniambia
 
😆😆😆Kijana ....hizo sisi wengine tumeandikiana sana, hadi kula Yamini lakini Leo hii...😅🤦🏿tafuta pesa tafuta pesa watakuja wenyewe
Watakuja wapi? Kufanya nini?, mwacheni dogo ameshapata future wife.
 
Tatizo wabongo mko kweny negative sana yaan hata kumfariji Mtu changamoto😂😂
Mdogo wangu mimi nakuunga mkono sana, sema wakuu wengine wanakunanga kweli kweli😀😀.

Sema nini "At your highest moment, be careful because that is when devil come for you" Denzel washington.
 
Back
Top Bottom