Dodoma comfort
JF-Expert Member
- Apr 20, 2024
- 456
- 798
- Thread starter
- #41
Nimemuacha asome ndio ningekuwa na akili ovu hata mimba ningempa ila naheshimu elimu na kuwa na subraNakazia
Akigoma Apigwe Tu Tumechoka Sasa
By Mizengo Pinda
Nimemuacha asome ndio ningekuwa na akili ovu hata mimba ningempa ila naheshimu elimu na kuwa na subraNakazia
Akigoma Apigwe Tu Tumechoka Sasa
By Mizengo Pinda
Ajiandae kisaikolojiaNgoja ajue kuandika vizuri huyu jamaa atajuta 😂
Kwahiyo umeamua kumpenda mwanamke ambae hajui kuandika ili Nchi yetu isisonge mbele au sioNimeamini ule msemo unaosema muhuni akipenda Hadi kibanda anajenga😂😂
Fake ids sawa lkn unaweka mawazo yako watu tunakushangaa kumbe ndio unawaza vile!Kaka humu tunatumia fake ids hivo acha tufanye vile inaona inafaa
Pale Ng'ong'ona Akila Karanga Za Kuchoma ♥️ Kwisha Habari YakeHuyo akiingia pale mlimani au pale ng'ong'ona basi sahau kama una mke tena
Kaka hujawahi zama kina kirefu itakuwa 😂😂Sio majungu dogo mshamba sana na utakuta hizo sms anazisoma basi hadi usingizi anakosa! Lakini cha ajabu ana 25 years!
😅😃😀😆😅Kwahiyo umeamua kumpenda mwanamke ambae hajui kuandika ili Nchi yetu isisonge mbele au sio
😄😄Pale Ng'ong'ona Akila Karanga Za Kuchoma ♥️ Kwisha Habari Yake
Anajua kuandika ila ni learner kweny matumizi ya simu kwao kutumia simu ni mtihaniKwahiyo umeamua kumpenda mwanamke ambae hajui kuandika ili Nchi yetu isisonge mbele au sio
Utoto raha sana🤣🤣
We unazingua bhana miaka 25 huwezi kuwa hivo situka amini nakwambiaKaka hujawahi zama kina kirefu itakuwa 😂😂
Nipe wew kaka 😂😂Kulikuwa Na Kamanda Mmoja Anaitwa Hashim Lundenga Ameshatangulia Mbele Ya Haki Angekupa Wosia
NakubaliKila lakheri kwenu.
Kwa hiyo unatulingishia wakubwa zako siyo! Vijana wa siku hizi ni watata sana.
Ananirudisha utotoni😂😂Utoto raha sana🤣🤣