- Thread starter
- #81
Asante sana Mungu akubarikiChukua milioni 10 fungua fixed akaunti NMB.
Milioni 10 iliyobakia nenda Silverland Tanzania/Silverland Dar nunua vifaranga aina y SASSO 1000 kila mmoja ni 1400, wafuge ndani ya miezi minne watakuwa wamekuwa wakubwa kweli kweli utauza kwa 15,000 au 20,000 kwa mmoja.
NB: SASSO ni kuku chotara wanaovumilia magonjwa na hali ngumu zote.
Gharama ya kuwahudumia SASSO 1000 pamoja na banda, madawa n.k havitazidi hata milioni 5.
Pia jifunze formula ya kutengeneza chakula cha kuku wewe mwenyewe ili kupunguza gharama.