Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Umenikumbusha kisa changu mie nyoko, mwaka 2013 si nikapata danga mie humu jf uzuri wangu mie huu si akanitambulisha kwa rafiki yake kaka mmoja hivi hatarii nikapita nae ikawa huku soja huku dokta kule mbeba box full kutupiana mipicha ya mihogo na mbususu. Nashukuru umalaya nimepunguza siku izi niko bize lkn wahusika wakisoma tu hapa wanajijua though siku izi mara nyinggi jf naingia kama guest au na hiki ki id changu fake.
😂 Wangekuua wewe
 
Mmeufukua tena huu uzi
HQam-SdXMAAiiot.jpg
 
Ewe binti kiziwi nakuomba unikubalie tukaweze kuwa coplue kubwa na bora isiyovunjika kama ya huyu mshangazi Nifah

Najua walimwengu watakuja kujaribu kuvunja penzi letu shatashata ila nakuahidi nitasimama kidete na kuhakikisha halivunjiki kamwe😎
 
View attachment 2858656

Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.

Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mahusiano yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mahusiano yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.

Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.

Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.

Mahusiano ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.

Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika safari ya maisha yake mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.

Nifah
Tupe faida ya penzi lenu maana hasara ushatujuza
 
Mlitumia muda mwingi kujionyesha na kujitangaza kwa watu wafahamu mahusiano yenu badala mtumie huo muda kujenga na kuimarisha mahusiano yenu. Poleni, likawe funzo kwenu mpate kuinuka tena.
 
Back
Top Bottom