nifah

 1. Nganga Lyuma

  New Member;Nini niwe nacho makini humu?Nimekuja rasmi.

  Baada ya mda mrefu kuperuzi JF kama mgeni nimeamua kuingia rasmi ndani baada ya kuona kuna mengi inawezekana nayakosa. Naomba mnipokee na kunishauri tahadhari za kuchukua nikiwa humu.
 2. Architectus

  Hakuna Kugeuziana Kibao cha Pili Tena!

  SEHEMU YA KWANZA ndio niliwahi kuwa rafiki yake mzuri sana, rafiki mwenye mapenzi ya dhati, rafiki mwenye mtizamo chanya, rafiki asie na wivu lakini mambo yakaenda ndivyo sivyo! Kwanini?? iko hivi aliwahi kuwa rafiki yangu lakini akamchukua mwanamke wangu niliekuwa nampenda kwa kuwa kwao...
 3. Architectus

  Ombi: Naomba Pitia Hapa Utajifunza kitu na wewe!

  Naitwa A am 21, Kwa Miaka Mingi sana marafiki zangu Ndugu Zangu na watu wengine wengi wamewahi kuniambia kwa Nyakati Tofauti Kwamba Mimi Ni Mtu Mwenye uwezo Mkubwa wa Ushawishi (HIGH CONVICING POWER), Kiufupi mimi sikuwahi kutilia maanani Hata Kidogo na niliacha Maisha yasonge vivo hivo...
 4. geraldincredible

  Navutiwa sana na Nifah

  Wakuu habari za majukumu.Mimi bwana ni mchunguliaji wa jf toka zamani sana nilikua guest tuu kusoma thread za watu basi..Basi tangu nimeijua jf nikajikuta navutiwa sana na bibie Nifah. KWANINI ALINIVUTIA? Cha kwanza Nifah alinivutia(sio kimapenzi)kutokana na kushabikia vitu...
 5. Architectus

  Nimeachana na Mpenzi wangu!

  Ndugu wana MMU kama heading isemavyo Hapo Juu, Leo saa sita usiku nilikuwa Nachati na mpenzi wangu akawa kama haeleweki mara katika kuchati nikamtumia Hiki ki emoji Flan kama cha Kupuuzia demu akamind basi ikabidi nikabembeleze kakawa kanakataa ila kakaja kukubali shingo upande, Nikahisi basi...
 6. masamakwetu

  Wana Dar Young's wenzangu njooni tujadiliane maandalizi ya kutwaa kombe

  Kwanza kabisa kama wewe ni mkia soma na upite kimyakimya bila kuacha omo.. Pili,kwa nionavyo upepo kombe linabaki nyumbani kwao lilipopazoea so tupange mikakati ya kumpokea mwali sisi kama members wa jf ambao ni fans wa timu pendwa (Yanga) Sio mbaya hata siku hiyo baada ya mechi ya ubingwa...
 7. Informer

  Mwisho mbaya wa aliyekuwa Rais wa Sierra, Leone Valentine Esegragbo Melvine Strasser

  Nani angeamini kuwa baada ya Rais kuitumikia nchi kwa miaka minne na kuweka miundo mbinu ya demokrasia bila kuiba hata shilingi moja angejikuta akifadhiliwa na mama yake kwenye mabanda? ========= Once upon a time, there was a 25-year-old Valentine Esegragbo Melvine Strasser, who took...
 8. H

  Dada mkuu wa darisalama

  Lakini jamaa anafaidi
 9. fyddell

  Udukuzi juu ya udukuzi: Mwendelezo wa vita baridi kati ya Marekani na Urusi

  Mwaka 2016 ndio tunauacha Rasmi, mwaka 2016 una mengi ya kukumbukwa yaliyoifurahisha na kuihuzunisha dunia. Mambo ambayo yatabaki kichwani mwa watu ni Vita vya mahasimu wanaooneshana ubabe nchini Syria ambavyo vimesababisha vifo vya watu wengi huku mataifa makubwa yakiendelea kuoneshana umwamba...
 10. Dr.adams faida

  THE POLITICA GAMBLE

  Katika SEASON ONE ya Series yetu iitwayo "The Political Gamble"...tayari nimemaliza kufanya upelelezi wangu wa Ki-nadharia juu ya wapi alipo kijana BEN...the investigation is 99 Percent Complete...na hii ni nadharia tu ila Practical itafanywa na Vyombo vya Usalama. Mimi "P" a.k.a. Cuthbert...
 11. masamakwetu

  Mapenzi yanaumiza

  Nimekupenda with all my heart regardless hali duni yako.Nimekataa nusra kibao kwa ajili yako.Sikua mchoyo kwa chochote changu tulishirikiana,leo umeamua kufunga mwaka na mimi.Najua unanisoma hapa na ushajifahamu ila tambua siku zote ukimfanyia mtu madhila tegemea kulipwa hapa hapa akhera twaenda...
 12. dawa yenu

  Huyu ni shujaa au shetani?

  Hii nimeipata huko facebook na nimeona ina hadhi ya kuwekwa hata hapa jamii forums. picha hii ilipigwa na mwandishi wa habari za picha (Photo journalist) kutoka nchini Afrika ya kusini aliyeitwa Kevin Carter mnamo mwaka 1993 huko Ayod nchini Sudan jirani na kambi ya umoja wa mataifa ya...
 13. Second July

  CCM ijue kuna tofauti kati ya chama (CCM) na serikali

  Nimeshangazwa sana na huyu msemaji wa ccm Ole Sendeka kwa kauli yake "Serikali haijapiga marufuku mikutano ya siasa ila imepiga marufuku maandamano" na kuwaambia madiwani ruksa kufanya mikutano ya maendeleo. Anasema ''hatujazuia mikutano...maandamano marufuku'' Anaongea yale na kutoa matamko...
 14. nyumbatatu

  Shairi kusindikiza utenguzi wa Kitwanga kutokana na ulevi

  Mh. Kitwanga amekuwa habari kubwa tangu uncle Magu atengue uteuzi wake!, kishindo cha utenguzi huo kimepelekea tasnia ya sanaa kutoa wimbo maalumu kusindikiza habari hii ambayo tunategemea kuisahau muda Si mrefu. Karibu tujiliwaze basi!.
 15. Martisisy

  Diamond Platnumz katisha

  kiukweli kijana wetu katsha sn n baada ya kutua bungen na kushangiliwa na wabunge wa pande zote mbili bila kujali itikadi ya vyama vyao... nafkir ndio msanii wa kwnz nchin kupata mapokez ya nguvu kutoka kw wabunge wetu... ifikie wakat iz team zote zikae chini zimpe heshima icon wetu maana hana...
 16. D

  Yanga yatinga fainali Kombe la Shirikisho

  Coastal Union imepoteza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga baada ya washabiki wake kuwa chanzo cha Mwamuzi kuvunja mchezo huo uliofanyika Aprili 24, 2016 kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga. Uamuzi huo umefanywa na Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa...
 17. NDEO

  Mange unataka kufundisha nini wanawake?

  Naomba msome hii hapo chini maana mimi naona huyo mwanamke ni chizi.Kweli unataka wanawake watumie private parts zao kama asset.
 18. Mr Njovu

  Ngoma Droo....

 19. SERIKALI 3

  TIGO wamevunja ndoa yangu

  Intro; Juzi mchana kutwa nilichepuka na Binti mmoja mwaka wa PILI Chuo fulani hivi huko morogoro. Kilichotokea; Jana mida ya saa 12:03 mchana akanitumia "text" kwa ajili ya kunipongeza kwa kutoa huduma murua na iliyokidhi mahitaji yake (Kimwili, Kiroho na Kiakili), lakini pia kunipa...
 20. Kirchhoff

  Huu wimbo wa Ekoti Te

  Nimejaribu kutafuta mashairi ya wimbo huu wa Koffi Olomide kwa muda, hatimae nimepata.. Kwa mtakaopenda usomeni na nyie mfurahie. Koffi Olomide Selfie Paroles Lyrics In Lingala and English Translation Ekoti te is like saying you missed the shot. Dj Mopao frontiere ya liwa, kanga foto (Dj...