• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

bold

  1. Tanzanite klm

    ISRAEL TOKA 1948 na jeshi la IDF.

    . HISTORIA YA TAIFA LA ISRAEL TANGU 1948 NA VITA VITA KUU ILIZOPIGANA. UTANGULIZI (softcopy iliyokamilika ipo sasa 3000 tsh pekee) Katika karne ya 19 idadi kubwa ya Wayahudi waliishi katika maeneo kadhaa ya Milki ya Urusi yaliyotwaliwa na milki hiyo mnamo 1800. Uadui dhidi ya Wayahudi ulitokea...
Top