PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 12,575
- 9,110
Watombewe 😁😁😬waombewe
Watombewe 😁😁😬waombewe
Chukua mtoto huyo acha kuzubaa.
wahuni wa kula tunda kimasihara , muda huu wako makini sana kusikiliza kinachojiri....😂🤣Afanye kweli nataka niwaone wazee wa kula tunda kimasihara suruali zinavyoshuka viunoni na kubaki vichwa vikubwa km siafu..!! 😹😹
Umekuwa mmang'ati sku hizi eehChukua mtoto huyo acha kuzubaa.
Hapana manka, nilitaka nikuite tu, Siwezi kukushauri hapo 🫣Umekuwa mmang'ati sku hizi eeh
Ni upuuzi kuitukuza nyege.Huu ushauri si mahali pake humu. Unataka sasa asinanii harakaharaka akae nazo hizo niege mpaka lini? Acha hizi wewe
Mhh ila mfukua thread wewe...una kazi
Hahaha ni raha sometimes 😄😄😄Mhh ila mfukua thread wewe...una kazi
Kama mada haikuhusu ila....Hahaha ni raha sometimes 😄😄😄
Mkuki kwa nguruwe mchungu kwa binadamu mtamu sio mchungu bestie 😜Kama mada haikuhusu ila....
Kama ingekua inakuhusu na ni mbaya ndo ungejua ubaya wake....hahahah
Ingekuwa ubaya ubwelaKama mada haikuhusu ila....
Kama ingekua inakuhusu na ni mbaya ndo ungejua ubaya wake....hahahah
Yani ingekua ubaya ubaya...ahhaahahIngekuwa ubaya ubwela
Msiweke hadharani mahusiano yenu kabla hamjaoana na sio kuipostiana ovyo
🤣🤣Umenikumbusha kisa changu mie nyoko, mwaka 2013 si nikapata danga mie humu jf uzuri wangu mie huu si akanitambulisha kwa rafiki yake kaka mmoja hivi hatarii nikapita nae ikawa huku soja huku dokta kule mbeba box full kutupiana mipicha ya mihogo na mbususu. Nashukuru umalaya nimepunguza siku izi niko bize lkn wahusika wakisoma tu hapa wanajijua though siku izi mara nyinggi jf naingia kama guest au na hiki ki id changu fake.