Nichague ipi Kati ya nyumba iliyoko Mbezi Maramba mawili na iliyoko Kijichi Mgeni Nani

Hivi mnaizungumzia mgeni gani hiyo ambayo mnaiita uswahilini? Kipindi fulani nilikua natafuta kiwanja nikapelekwa kwe viwanja wanaita vya BOT, kiwanja tu 50mil na ni kumejengeka vizuri. Kuna lami inakuja kutokea nyumba za NSSF Kibada.

Mtoni Kijichi inaweza kua iko ndani ya mbagala kweli lakin kuna baadhi ya maeneo ni ya kishua mno, hayana uswahili uswahili.

Nakushauri kama ni umetumiwa picha jaribu kwenda wewe Mwenyewe mpaka huko ukakague.
 
Sure location yake ndo inaishushia hadhi! uelekeo wa njia ya kusini kwa bahati mbaya tokea zaman pamekuwa ni maeneo ambayo yanaonekana ni ya hadhi ya chini! halaf jina nalo dah mgen nani!🙉 nishafika huko ni kweli kuna nyumba nzuri ila ndo hivyo tena!
 
Mie nina uhusiano na maeneo yote. Nenda mgeni nani. Ni km 15 to city centre na kuna miundombinu. Huko kwingine ni zaidi ya km 25.
Mimi naishi Goba..juzi kati nilienda Kijichi...watu wanabaeza ila Kijichi ni best place sema watu hawajui..barabara zote zina lami kama vile upo masaki..na kijichi imejengeka sema watu hawajui wanaleta ujuaji mwingi
 
Mimi naishi Goba..juzi kati nilienda Kijichi...watu wanabeza ila Kijichi ni best place sema watu hawajui..barabara zote zina lami kama vile upo masaki..na kijichi imejengeka sema watu hawajui wanaleta ujuaji mwingi[ kijichi ni ushuani /QUOTE]
 
Heshima kwenu wakuu.

Kuna jamaa yangu kaniomba kiasi fulani cha fedha kwa malipo ya moja ya nyumba zake ambazo moja iko Mgeni Nani na nyingine iko Mbezi Maramba Mawili.Zote ni nzuri za kisasa na zina ukubwa sawa.

Sina ufahamu mzuri na vitongoji vya jiji la Dar hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnisaidie kuchagua kati ya hizo Location mbili ni ipi ina thamani zaidi na ipi italeta kodi nzuri zaidi.

Natanguliza shukrani wakuu
Aisee kijichi pako ushuani sana, hata thamaani ya Ardhi nadhani inazidi ile ya malamba mawili. Chagua ya Kijichi jamaa yangu...
 
Mimi naishi Goba..juzi kati nilienda Kijichi...watu wanabaeza ila Kijichi ni best place sema watu hawajui..barabara zote zina lami kama vile upo masaki..na kijichi imejengeka sema watu hawajui wanaleta ujuaji mwingi
Wakisikia iko Mbagala ndo inakua hivyo but yeah Kijichi ni ushuani
 
Heshima kwenu wakuu.

Kuna jamaa yangu kaniomba kiasi fulani cha fedha kwa malipo ya moja ya nyumba zake ambazo moja iko Mgeni Nani na nyingine iko Mbezi Maramba Mawili.Zote ni nzuri za kisasa na zina ukubwa sawa.

Sina ufahamu mzuri na vitongoji vya jiji la Dar hivyo nimeona nije kwenu wakuu mnisaidie kuchagua kati ya hizo Location mbili ni ipi ina thamani zaidi na ipi italeta kodi nzuri zaidi.

Natanguliza shukrani wakuu
Chukua mbezi Malamba mawili utanishukuru
 
Nenda mbezi ...Huwez fananisha ukanda wa Morogoro road na ukanda wa kilwa road hata siku moja
Sahv mbezi Ina Barabara nane ,mbezi ndo lango kuu la DSM

Hoja ya kwamba mgeni nani Ina lami Kila mtaa inakosa mashiko coz hao hao wanakiri Kodi ya mgeni nani na Kodi ya malamba mawili ....ya malamba mawili Iko juu sahv...hii inadhihirisha demand ya malamba mawili ni kubwa compare to mgeni nani

Ni sawa na kigamboni ni pazuri sana kimazingira ila thamani yake Iko chini ,inazidiwa na kibaha iliyopo nje ya dsm
 
Ipo hv kwa mimi nimekulia kijichi n nimeishi mbezi ila mgeni nani na mazingira yake na nyumba zilizopo n miundombinu yake kwa sasa naweza kusema vinashabiiana na maeneo wanayo ishi wakubwa mf ostarbay au masaki pia ni mazingira ambayo yamejengeka kimakazi zaid na si kibiashara kam maeneo mengine hivyo hata upande wa kodi zake zipo chini ukilinganish na mbezi ila gharama ya kiwanja ipo juu kuliko mbezi hivyo kama unatak kuishi na familia basi nenda Kijichi ila kam kwaajili ya biashara bas nenda mbezi kwakuwa mbezi kunamuingiliano mkubwa wa watu tofauti na kijichi na kodi zake zipo juu

Ila Malamba mawili sio mbezi ile ya Mwendokasi aisee? Malamba mawili ni Bonyokwa iliyochangamka
 
Nenda mbezi maramba mawili.mgeninani ni mbagala,hata kodi inaweza kuwa chini compared na mbezi..thamani ya mgeninani haifikii mbezi
Nasikitika kuwa hukujui mgeninani, na wala havina ukaribu na mbagala. Unajua kiwanja mgeninani kinafika shilingi ngapi? Connectivity ya mgeninani na maeneo mengine kama kibada, kigamboni au hata mjini iko vizuri kabisa, tafauti na maramba mawili.
 
Back
Top Bottom