Natafuta wimbo uliopigwa na Tanga International miaka ya 80. Jina sikumbuki lakini huenda ni Roza.
 
Mwenye sebene moja ya kikongo inaimba "Ale sadona ye sadonaye alekisadoneee" ×2 hiii hiii alekisadonooooo.... Mwenye idea na huu wimbo wazee
 
Natafuta wimbo Fulani Wa Congo jamaa Anaimba nadhani Kwa Lingala Kuna sehemu. Jamaa Anaimba watu wanaitikia "MAMA OOOH ZUBE ZUBEEE' kama Kuna anayeujua maaana mashairi mtihani kuyatamka vzur
 
Mwenye hizi ngoma please
Kanizima by K basil
Kaka yuko town by UVC
Nimekufananisha by Top T
Nataka by Wandago ft G solo
 
Wakuu mwenye nyimbo hiz
1 .Wandago family wimbo unaitwa Nataka ft G solo
2.K basil wimbo unaitwa Kanizima
3.UVC ngoma inaitwa Kaka yuko town
4. Top T ngoma inaitwa Nimekufananisha
 
Mi nazitafuta nyimbo izi mbili tu oh yeah foxy brown na julio iglesias when i need you iwe katika mfumo wa mp3 nitashukuru sana
Hizi hapa...!
 

Attachments

  • Foxy Brown - Oh Yeah!.mp3
    3.9 MB
  • JULIO IGLESIAS - WHEN I NEED YOU.MP3
    10 MB
Mwenye hizi ngoma please
Kanizima by K basil
Kaka yuko town by UVC
Nimekufananisha by Top T
Nataka by Wandago ft G solo
Ngoma za Top T (ama ulimaanisha top C?) na UVC nimezikosa. Pata hizo mbili kwanza
 

Attachments

  • K Bazil - Kanizimia - K- Bazil.mp3
    5.9 MB
  • Wandango Familly Ft G Solo - Nataka.mp3
    4.3 MB

Attachments

  • Sebene 6-TWANGA PEPETA.mp3
    6.7 MB
  • SEBENE LA MASCUT -- TWANGA PEPETA.MP3
    27 MB
  • Sebene nenda nyumbani.mp3
    6.8 MB
  • Twanga - Mgongo Mgongo Live.mp3
    11.4 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom