pauline zongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Secret Star

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
  2. Replica

    Pauline Zongo arejea kwenye ubora baada ya kwenda Sober House

    Msanii Pauline Zongo maarufu kwa vibao kama nitakufaje na sister sister akitamba na kina GK, AY na MwanaFA wakiwa East Coast alikumbwa na kadhia ya madawa japokuwa nyakati hizo alikana na kusikitika kusemwa anatumia. Safari yake iliishia sober house na sasa ameimarika na kupendeza, sio Zongo...
  3. OKW BOBAN SUNZU

    Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana

    Pauline Zongo alitamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 akiwa na kundi la muziki wa kizazi kipya la East Coast lililowajumisha wasanii mahiri kama King Crazy GK, MwanaFA, AY na wengine wakiwa na vibao kama nitakufaje na sister sister. Pauline Zongo afya yake imetetereka na maisha yake yamepoteza...
  4. geraldincredible

    Nadhani Pauline Zongo anahitaji msaada

    Jana mitaaa ya Kinondoni nimekutana na Pauline Zongo akiwa kachoka sana saa 4 asubuhi kalewa chakari na ana mwonekano kama kachoka inasikitisha sana...... Nadhani anahitaji msaada wa hali ya mali. Soma pia > Msikilize Pauline Zongo wa East Coast Team, anasikitisha sana
Back
Top Bottom