Baadhi ya hit songs zake hizi hapa. EnjoyNatafuta nyimbo hata nne zilizotamba za mfalme wa Pop Michael jackson
Nadhani ni wimbo wa mwanamuziki Nyboma unaitwa Double Double. Sikiliza huu nilioweka, kama sio wenyewe useme tuangalie namna ya kukusaidiaNatafuta wimbo Fulani Wa Congo jamaa Anaimba nadhani Kwa Lingala Kuna sehemu. Jamaa Anaimba watu wanaitikia "MAMA OOOH ZUBE ZUBEEE' kama Kuna anayeujua maaana mashairi mtihani kuyatamka vzur
Asante mkuu pole Kwa makwazo ya lughaMbona lugha ya kibabe sana mzee
Idimi.Nadhani ni wimbo wa mwanamuziki Nyboma unaitwa Double Double. Sikiliza huu nilioweka, kama sio wenyewe useme tuangalie namna ya kukusaidia
Asante sana mkuuIshi hapa:
Sio huu MkuuuNadhani ni wimbo wa mwanamuziki Nyboma unaitwa Double Double. Sikiliza huu nilioweka, kama sio wenyewe useme tuangalie namna ya kukusaidia
Wimbo unaitwa Mtegemea Cha ndugu. Huu hapa. Enjoy nduguChande mwinjuma muumini
Wimbo unaitwa Mtegemea Cha ndugu. Huu hapa. Enjoy ndugu
Pamoja sana ndugu. JF hakiharibiki kituNimeutafuta mwaka kasoro sasa shukran sana