fid q

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Secret Star

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
  2. BARD AI

    Prof. Jay, AY & Chid Benz vs Fid Q, Mwana FA & Joh Makini vs Ngwair, Langa & King Zillah, Utasikiliza kundi gani hapo?

    Umepewa Playlist tatu hapa zina ngoma za 1. Prof. Jay, AY & Chid Benz 2. Fid Q, Mwana FA & Joh Makini 3. Ngwair, Langa & KingZillah, Utasikiliza kundi gani hapo?
  3. Saad30

    Mimi ni shabiki wa Fid Q lakini Joh Makini kashinda

    Fid Q namkubali sana kwa barz. Leo baada ya kupiga mitungi nikasema nisikilize ngoma za Fid Q na Joh makini. Lakini katika nyimbo zilizo nivutia katika mzuka ni hizi hapa. Fid Q wimbo walk it off Joh makini nusu nusu. Nikasikiliza midundo inafanana kimzuka. Lakini katika barz asee niseme...
  4. BARD AI

    FID Q na Chinno Wanaman wanashoot Video ya Amapiano

    Baada ya kuombwa kufanya collabo na msanii huyo amaye ni lead dancer wa Marioo, hatimaye moja kati ya MC's Bora kabisa wa Hip Hop Tanzania, FID Q ameamua kushiriki kwa nguvu zote katika collabo hiyo.
  5. central midfielder

    Fid Q Vs Ngwair

    Wadau me Naleta hoja kwenu, kuna watu naona wanaleta list tofauti za wana hiphop kila mtu na mtazamo wake anavyoona yeye, lakini kinachonichanganya kuna baadhi ya watu wanasema kuwa Ngwair alikuwa ni zaidi ya Fid Q kitu ambacho kwangu sijawahi kukubaliana nacho. Maana kwa mtazamo wangu sidhani...
  6. kali linux

    Hii cover ya wimbo wa roho wa Christian Bella (ft Fid Q) aloifanya TGUN TOZZY kwenye BSS imenikumbusha miaka ile Lil Wayne kwenye MTV UNPLUGGED

    Hello bosses and roses, Huyu dogo TGUN TOZZY ni complete package ya perfomer. Jamaa anaweza kutengeneza vibe fln kwenye rap ambalo wachache tu huweza kufanya. Nimeona cover ya Roho (christian bella ft fid Q) ilofanywa na TGUN na mwenzake aisee imenikumbusha mbali sana enzi hizo za MTV...
  7. Saad30

    Hii ni kwajili ya mashabiki wa Fid Q na muziki wa Hip Hop tu

    Habari wakuu, Naomba kunanza na Track hii ya Fid Q ft Juma nature, SIRI YA MTUNGI. Naandika mistari ya hii ngoma nitakapoishia atendelea mwingine hadi track kuisha, kisha mkuu mwingine anaweka track tunapita nayo. Song: Siri ya mtungi Fid Q ft Juma Nature Verse no: 1 Nilipotoka...
  8. Kinumbo

    Siku akitokea Rapa mkali kuliko FID Q naomba mnishtue

    Nimekuwa mpenzi wa muziki wa hip hop kwa muda mrefu sasa, pia nimewasikiliza ma Rapa wengi sana wa hapa nyumbani na Afrika Mashariki kwa ujumla. The Real FID Q ndio Rapa nilie tokea kumwelewa zaidi, nyimbo zake ziko professional sana. Mpaka sasa hakuna Rapa mkali kama FID Q, hao wengine wana...
  9. bahati93

    Sio kila ndio ina ukweli kiundani kuna baadhi ya ndio zaambatana na utani

    Jamii Hip #0p wozaa Nadhani sina haja ya kusema mengi kwani kuna baadhi ya mambo yanafanana na utani. Mambo yenyewe ni msanii kulalamika kuibiwa mistari. Msanii ni mtu muhimu sana katika jamii yeye anafanya kazi sawa na watu wa dini na mizimu kwa namna yake. Mtu msanii hutumiwa na jamii kama...
  10. sky soldier

    Wasanii wamjia juu Fid Q kwa kufanikisha Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki wote Tanzania

    Shirikisho la Muziki Nchini Tanzania ambalo Fid Q Ni katibu Mkuu, lilimtangaza Steve Nyerere kuwa Msemaji wa Wanamuziki Wote nchini. Wasanii wamaupinga huu uteuzi na kudai wanataka Kusemewa na Mtu anaejua Changamoto zao na sio Steve ambae ni Mwanasiasa na Muigizaji. Wasanii Wameonekana kutokua...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    FID Q asilaumiwe, hana Verbal intelligence

    Kwema Wakuu Verbal intelligence -VI, ni ule uwezo wa mtu kuweza kupokea, kuchambua, kuchanganua, kutafsiri na kuelezea mambo Kwa lugha inayoeleweka. Uwezo wa kuitumia lugha vizuri. Nimeona watu wengi wakimshambulia Fid Q Kwa kile walichokiita ametia aibu na kuharibu Heshima yake aliyoiweka...
  12. barcelonista

    Huu mstari unapatikana kwenye wimbo gani wa Fid Q?

    Wakuu kwema? Hivi huu mstari hapa chini unapatikana kwenye ngoma gani ya FID Q. Msaada kidogo. "Kipaji kama Ngwea, bahati mapande aliwagea, ilikuwaje waache ulaji wa majani ukamuelemea"
  13. John Haramba

    Fid Q aelezea sababu ya Muziki wa Gospel kuondolewa kwenye tuzo

    Akiwa katika Kofia ya Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Fid Q ametolea ufafanuzi suala la kutokuwepo Vipengele vya muziki wa Injini katika Tuzo za Muziki Tanzania TMA akieleza sababu kuu mbili! 1. Aina ya Wadhamini na bidhaa zao ambazo pengine hazifungamani na itikadi za kidini...
  14. Ruyama

    Hivi inakuwaje wimbo wa ''Bia Tamu'' izidi nyimbo za akina Fid Q?

    Nawalaumu ma DJ, nakumbuka 2005 hadi 2009 bongo hip hop ilikuwa juu ma dj wali support mnoo,karibia radio zote walikuwa wanapiga hip hop conscious. Pongezi kwa Uncle Sam (RFA) ilikuwa kila ijumaa weekend fever alikuwa anatwanga hip hop za maana, Sheza (Hip hop base EATV), Saigon (Hip hop base...
  15. Hussein Massanza

    Sikubaliani na watu wanaoamini Fid Q ni genius

    Humu leo sijui kama patatosha! Nimekuwa nikijaribu kudigest sifa ambazo wadau wengi wamekuwa wakimpatia msanii Fid Q, kwamba ni mtu makini, mwenye upeo wa hali ya juu. Kiukweli nimejitahidi sana kuamini lakini leo acha tu niseme ukweli.. Mwaka jana mwanzoni, huko Marekani alitokea mtoto wa...
Back
Top Bottom