Luno G
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 2,549
- 1,842
Mkuu wa stamina Na fid nnao Unaitwa wazo LA Leo Sijui ndo huo, ila kuupandisha ndo siezNARUDIA TENA KUOMBA WIMBO WA STAMINA FT FID Q UNAITWA USHAURI NASAHA
PIA WIMBO WA SWAHILI NATURE FT INSPECTOR HAROUN UNAITWA SIKU YA HUKUMU YA MWISHO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo mwingine unaitwa ushauri nasahaMkuu wa stamina Na fid nnao Unaitwa wazo LA Leo Sijui ndo huo, ila kuupandisha ndo siez
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishaupata!? Na mimi nautafuta.Natafuta wimbo bahati mbaya msanii na jina la wimbo nimesahau,chorous inaimbwa:
you better love me or leave alone(leave me alone),you better love me or leave me alone(leave me alone)
Umeimbwa na mwanadada flabi miaka ya 2003/2004.
Wimbo wako huu hapa mkuu. Upakue ukauhifadhi kwenye makavazi yako.Wakubwa natafuta wimbo wa Tundaman - Starehe Gharama, kwa yoyote alionao msaada plzz...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wimbo wako huu hapa chini; upakue ukauhifadhi kwenye makavazi yako:Alie na wimbo kila munu ave na kwao wa tongolanga anisaidie tafadhali, shukrani.
Hapana, hiyo track Babuu wa kitaa kaifanya peke yake inaimbwa NANI ANAYEWARUSHA!? na watoto au mabinti wanaitikia BABUU WA KITAA!!Au ndio hii inayoitwa Usipime,yupo na Colloo?
Ngoja tuisubiri mkuuHapana, hiyo track Babuu wa kitaa kaifanya peke yake inaimbwa NANI ANAYEWARUSHA!? na watoto au mabinti wanaitikia BABUU WA KITAA!!
Humo ndani Babuu kajisifia sana!!
Pliiz kwa mwenye kuweza kuipata tafadhali.
Mkuu KIOO naona kama umesaidia wengi humu fanya kitu tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
HAPANA SIO HUO WA WAZO LA LEO HUO UNAITWA USHAURI NASAHA NAFIKIRI HAUKUACHIWA RASMI KWENYE VITUO VYA REDIO ILA MTAANI KWENYE BAJAJI NA BODABODA UNAPIGWA SANA.Mkuu wa stamina Na fid nnao Unaitwa wazo LA Leo Sijui ndo huo, ila kuupandisha ndo siez
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una wimbo wa complex hakuna hatari na Madilu system LeAu unitupie?wewe na Kioo nawaaminiaNaanza na hizi hapa chini. Twende kazi
Wimbo unaitwa farida msanii anaitwa EmanHabari.
Huu wimbo Ni wakitambo sana.
Msanii simfahamu ila nyimbo naijua.
"Kuna vitu vinazinguazingua aaaahhh
Wewe farida wewe nahisi baridi
Umenichoma sindano ya mapenzi ooohhh
Wewe farida jamaa imani nakuhitaji"
Dude linaitwa FARIDA.
Gwankaja
Kioo
Idimi
Machungwa
Times9
Nauomba tafadhali wakuu.
Huo wa Complex sina, naamini KIOO atauweka. Nakuwekea wa Madilu.Mkuu una wimbo wa complex hakuna hatari na Madilu system LeAu unitupie?wewe na Kioo nawaaminia
Sent using Jamii Forums mobile app