Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

haha peku umejuaje mtani, enzi tulikuwa tunatengeneza Yale magari ya mbao, sijui kama umeyawahi yapanda mtani pindi unakuja, kwenye mteremko yanakimbia kweli kweli
Hahahahaha kama hujawahi kuingia kwenye tairi kubwa ukasukumwa kwenye mteremko hapo bado hujapitia adventure

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom