Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,527
- 127,822
😀😀😀 Cheka tu Mtani.umefanya nicheke huku mtani ujue, kumbe muhenga henga kidogo na wewe
Ndio mie Muhenga japo nilianza shule nikiwa mdogo pia.
😀😀😀 Cheka tu Mtani.umefanya nicheke huku mtani ujue, kumbe muhenga henga kidogo na wewe
Sijaelewa hata hapa Mtani..😜😜😜😜LY96
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwalimu Edward..alikua ni mwanamke..mwanamama so loving and humble.niliipenda sana shule sababu yake.,
Alikua hashiki bakora kuchapa..anakufinya kwenye bibi(papuchi)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtani si umemtaja ticha kumbe naye yupo Jf. 😀😀😀haha mkuu unataka uninyime nini lakini
Mtani nilihamishiwa handeni, kijijini masagaru nilikuwa napandisha vilima kufuata shule kwenda km 18 kwa siku jumla nilikuwa natembea Km 36 kwa siku.😀😀😀 Cheka tu Mtani.
Ndio mie Muhenga japo nilianza shule nikiwa mdogo pia.
Umetisha mkuu. 82!!!!!Mwalimu Kitomary, Muungano primary 1982
Daah. Palikuwa parefu mno ila kwa kule kwetu shule kuwa mbali ilikuwa kawaida kabisa na hapo mguuni watu hawana viatu.Mtani nilihamishiwa handeni, kijijini masagaru nilikuwa napandisha vilima kufuata shule kwenda km 18 kwa siku jumla nilikuwa natembea Km 36 kwa siku.
Shikamoo baba
Haswaaaaa...Hakika Mdogo wangu. Hatuombani chumvi. 😀😀😀
haha peku umejuaje mtani, enzi tulikuwa tunatengeneza Yale magari ya mbao, sijui kama umeyawahi yapanda mtani pindi unakuja, kwenye mteremko yanakimbia kweli kweliDaah. Palikuwa parefu mno ila kwa kule kwetu shule kuwa mbali ilikuwa kawaida kabisa na hapo mguuni watu hawana viatu.
Siku hizi angalau ndio kuna shule shule kila baada ya Vijiji kadhaa.