Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,549
Hahaha kumbe nawe unayajua, nilikuwa naenda nayo shule enzi izo kwenye mlima na kokota, nikifika kwenye mteremko full kujiachia kama boxerMagari ya mbao kwetu tulikuwa tunaita Kuyeka, kuna watu walikuwa wanajua kuyatengeneza hasa.