Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Hapo tutakuwa tumechanganyana, hilo unalosema ni kama baiskeli hivi. Inakuwa na tairi 2.

Kuna yale yanakuwa kama bajaj, tairi moja mbele na nyuma tairi mbili. Hili lazima kuwe na dreva na watu wa kusukuma
Matairi tunaweka beringi, jina la hayo magari tuliyaita kwichirikwichiri kutokana na mlio wa beringi kipindi chakuserereka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Sisi hapa ni watoto wadogo, twajifunza siasa ya ujamaa,.. Mwalimu wetu atufundisha hesabu, na heshima mbele ya wazazi wetuu "...... Mwl Mary... 1987

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahaha punguza masihara mkuu, shingo itatoka salama kweli, afu mbaya zaidi tairi lidumkie mtaroni
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sitanii ni kweli na wapo wanarudia rudia na wengine huwa wanajikuta wameuvaa mti na ajali yake hapo ni kwenda kuomba RB tu

Hapo shingo inapona maana unaificha kama kobe
Walahi naandika huku nacheka kama mazuri

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Baada ya kusoma comment zenu wote nimeona ninyamaze maana wote ni kama si vitinda mimba ni vitukuu. Watu tunaongelea 1965? nyie mli shikwa masikio? Mwalimu wangu aliitwa ta mwl. John sidhani kama yupo hai. Asante mwalimu ulinifundisha kusoma, kuandika na kuhesabu na kusoma Bulicheka na mke wake Elizabeti pamoja na karumekenge.
Sio Elizabeti banaa ni Elizabeta bila kusahau mfalme Huihui
 
Back
Top Bottom