Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Ni wangapi wanakumbuka jina la mwalimu wa darasa la kwanza?

Kwa utafiti wangu wa haraka nimegundua kwamba elimu yetu watanzania imeanza kuharibika miaka ya 90..hivi unaandikaje jina la mwalimu au shule kwa kuanza na herufi ndogo?
Hivi vitu vidogo ndo ulikuwa msingi wa mwanzo katika elimu ya mwanafunzi.
 
mwalim Wiliam masunko, mwalim mvabarushe Rip, mwalim Antony, mwalim kashind na nk, miaka 1997 huko Kinaz kigoma
 
Ina maana mi na wewe Mkuu ndio hatuna kumbukumbu eeee? 😜😜

Pole kwa kusahau Mtani, mimi nina walimu wangu kadhaa wa Primary, yaani siwasahau mpaka leo.

Std 1, alikuwa ana bonge la tabasamu halafu mdogo mdogo. Akaja akahamishwa, std 2 tukapewa mwingine, huyu alikuwa jirani yetu, term ya pili tukapewa mwingine tena.

Kwa hiyo 1-2 walimu watatu wote wa kike.
 
Back
Top Bottom