ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,048
- 49,731
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na cdf mstaafu Mabeyo ametembelea Msomera kukagua maandalizi ya ujenzi wa nyumba 5,000 za Maasai wanaohama Ngorongoro.
ujenzi wa nyumba hizo utafanywa na Vijana wa JKT Kwa oparesheni ambapo takribani Nguvu kazi ya watu elfu 6 wanatakiwa kufanikisha ujenzi huo.
Najiuliza mbona ratio ya manpower 6,000 vs Idadi ya nyumba 5,000 hai make sense?
kwamba Kila mtu atapewa nyumba Moja na msaidizi robo au itakuaje? Mtawezaje kujenga nyumba elfu 5 zote Kwa wakati mmja Kwa idadi hiyo ya Manpower? Kwa nini msialike na Vijana wa mtaani waje kujipatia kipato?
View: https://youtu.be/Us4HUXvRg3Y?si=QR447ygOdhtNsA83