Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??

Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??

Hii mbinu yako mbona ilishatumika humu otherwise ww hujaingia siku nying

Subiri mtego wako unase mkuu, wanakuja piemu
 
Mkuu umekosea kidogo hapo....ulitakiwa kila amount anayoomba wewe uitripple yaani akiomba 50000 mtumie 150000 hivyo hivyo....Usitoe exactly amount anayo hitaji.

Daah ngoja nikupe story moja ya enzi za ujana wangu....

Kabinti kazuriii nimekaona nika kaomba namba kakaniambia kameacha home akaja crame namba....nikampa bness card yangu na buku 10 nikamwambia weka vocha unibeep.(By then buku 10 ilikuwa kubwa sana)

Ikipita wiki hajanicheki....mara gafla naona txt imeingia inasema Hello... nikapotezea kama baada ya siku 2 tena akanitxt mambo...nikamjibu. Nikamwambia binti naomba tuwe wapenzi akanza kunizungusha mara kimepanda mara kimeshuka.

Sasa kuna siku kaniambia anashida ya 50000 ...mimi nikamtumia laki 2 nikamwambia naenda Sudan nimepangiwa kikosi namba moja cha mauaji. Nikamwambia njoo kwangu kuna transaction za kibenki nataka uwe unanisaidia kufanya kipindi nikiwa Sudan....Alivyo kuja nikajilia vyangu usiku mzima
 
Kaka paka wewe ni kito.mbi. Lakini sio kesi. Ni kawaida tu. Mwenyewe nimenyooshwa sana tu kwa stahili hizo.

Ni kama unacheza kamari hivi wengine unawapata mambo yanaenda vema wengine ndo kama hivo.

Ila wadada wa arusha nimewavulia kofia ukijimix kwa mdada wa pande hizo ukatuma hela tu imekula kwako.
 
Kama kweli katoka ughaibuni elfu 75 kitu gani? binti mshamba tu. ataishia kutoka na mabitoz wasio na mbele wala nyuma akishazalishwa anahamiwa kwa waokota chupa.

ukikakuta kanavyolaani wanaume hawafai ulitaka wafae vp? ukichezea koki lazima ulowe.
 
ninauhakika hii ni chai % 100 au wewe unatokea shinyanga vijijini.
 
Inawezekana umepigwa zaidi ya hapo...yaani umetoa card tuu umeigharamia hivyo ungepewa papuchi si ungepeleka hadi vyeti vya kuzaliwa,Chuo na passport ...
Katoa kulingana na uwezo wake. wambili havai moja hatulingani uwezo hilo liko wazi. kama angepewa mzigo akauthaminisha kwenye viwango anavyotaka hata angehonga nyumba shida iko wapi? kula kitu roho inapenda mawazo ya kimaakini utayajua. Mzee hiyo mbinu kwenu vijana wenye hela zenu ndiyo the best. unatafuta hela za nini hayo ndiyo matumizi.
 
Mkuu kama hayo ndio matumizi sawa tafuta hela ukipewa papuchi honga Nyumba upate heshima na hela ni zako sisi wenye roho za kichimbachumvi wacha tuendelee kushangaa tuu na kula kwa macho...
 
Inawezekana umepigwa zaidi ya hapo...yaani umetoa card tuu umeigharamia hivyo ungepewa papuchi si ungepeleka hadi vyeti vya kuzaliwa,Chuo na passport ...
Teh teh teh.Kupigwa kwa mwanaume huwaga ni siri ya ndani. Takwimu ni kubwa kuliko unavyodhania, lakini wengi hawasemi, ni kilio cha samaki chozi kubebwa na maji.
Kiukweli inauma sana kuliwa bila kupewa nafasi ya kula.
 
Kinachoniuma zaidi ni kuona kuwa niliyedhani ninampenda kumbe ni mpumbavu...Na wala sio hiyo hela. Kama ni hela mbona tunasaidia wengi bila hata kutegemea kurudishiwa....
 
Ha Ha Paka,hizo Ni Porojo Zako ,bora Ungentumia Mie Swaiba Wako Lol Umepigwa
 
Nashukuru sana kujua kuwa huu ni utapeli mpya na kuanzia sasa biashara ya nitumie hela imekwisha kwa upande wangu. Ukitaka hela ntakupea gesti hata kwangu sitakupeleka,usije kuondoka na laptop...
 
Nimecheka Sana ,halafu kuna jamaa mmoja hapo juu kakuambia kuwa umepigwa na dume,dem alitupa b,nes kadi kaokota dume,kakupanga ukaingia line,kaniacha hoi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom