wani mtu akishakublock miamala ya fedha inaendelea au nimtumie kupitia wakala?Sasa ww mtumie laki 1 then mtafute kwa namba nyingine mwambie hiyo ni asante kwa kuni block
Duh, kweli nimepigwa..Acha kutafuta faraja we umepigwa tu
Hahahaa mjini shule...jamaa kazidiwa akili tenana kabinti kadogoo tu.
Kabinti ni karembo kweli. Mzee mzima nikasema wacha nitupe nyavu. Baada ya kutoa ya moyoni nikaambiwa mi nina mtu wangu. Nikamwambia hamna shida basi chukua business card yangu ili kama utanihitaji au kubadili mawazo uweze kuwasiliana na mimi.Akaipokea kwa mikono miwili. Siku mbili baadae naona namba ngeni inanipigia. Napokea naambiwa mimi ni yule uliyenipa business card yako juzi,nikafurahi kuona mrembo anaanza kuingia line. Tukaongea kwa kirefu mchana huo. Jioni naona ujumbe kwenye simu, baby naumwa sana na wewe ndio tumaini langu la mwisho. Naomba nitumie 50,000 niende hospitali. Mzee mzima nikaona mambo si haya,fasta tigo pesa ikahusika.kesho yake naambiwa baby asante sana kwa msaada wako ila ile hela imepungua 25,000 ili niweze kununua dawa. Bila kujiuliza nikatuma hiyo hela. Cha kushangaza kesho yake namtafuta kumuulizia hali nakuta ameniblock nikaishia kucheka tu na kumuona ni mjinga aliyekosa vingi toka kwangu kwa kujiona ametosheka na hiyo 75,000.
mkuu hiyo papuchi niliiomba kweli. Na nilikuwa na malengo nayo ya muda mrefu,sasa kwa tabia aliyonionyesha ntaendelea kumtafuta ili nimlize na ajutie kosa lake..Sizitaki mbichi hizi.
Lazima uliomba Papuçhi ndo aka kublock
Paka punguza kuhonga
Na wewe umeona umepost leo? Watu hatufanani.....AJAKOSA VINGI, NDO ILIVYO, KWANZA USIJIDAI WEWE NI MGENI UMEKAA UGHAIBUNI NA HAYA UYAJUI, HATA UGHAIBUNI YAPO TU, PIA THIS IS: -70,000 KWAKO NA +70.000 KWAKE, SO SIO KWAMBA AJAPATA CHOCHOTE NA SIO KWAMBA WEWE UJAPOTEZA, ILA UACHE TAMAA, UNAKOELEKEA NIKUPE TAARIFA PIA KA TIGO KANAWEZA PATA MADHARA UKIENDEKEZA VITU VYA WATU
Na wewe umeona umepost leo? Watu hatufanani.....
Unfortunately not understood..message sent, received, read and understood
Mkuu huyo hachelewi sasa ivi atarudi tena analialia.. Atakuja na uongo oooh Simu yangu ilijiblock hapo hapo Mvue Chupi siku moja then utoka kama Filbert Baymkuu hiyo papuchi niliiomba kweli. Na nilikuwa na malengo nayo ya muda mrefu,sasa kwa tabia aliyonionyesha ntaendelea kumtafuta ili nimlize na ajutie kosa lake..
I like this advise..Mkuu huyo hachelewi sasa ivi atarudi tena analialia.. Atakuja na uongo oooh Simu yangu ilijiblock hapo hapo Mvue Chupi siku moja then utoka kama Filbert Bay
Afu hivi vindezi hapa mjini haviishi vyenye akili za kitoto namna hiyo.. Mie kuna jamaa yangu juzi alimtumia demu yupo mkoani kama elfu40 ya nauli ili akifika bongo waonane.Mshamba huyo! Amechezea shilingi chooni,


Afadhali mkuu umenielewa. Naona kuna wenzetu wanaona ni utani,ila hawa watu wamebuni njia mpya ya utapeli sawa na wale wanaokwambia housegirl anatokea Namtumbo tuma hela ya nauli.Afu hivi vindezi hapa mjini haviishi vyenye akili za kitoto namna hiyo.. Mie kuna jamaa yangu juzi alimtumia demu yupo mkoani kama elfu40 ya nauli ili akifika bongo waonane.
Demu akamdanganya mwana kashakuja ila kapitia kwa wazazi wake wataonana baada ya siku 2. Msela akakubali. Baada ya hizo siku 2 demu anataka elfu 20 ya nauli ya bajaj. Mwana akamwambia akodi bajaj akifika atalipa cash, demu nae si akaishia kumblock pia mwana![]()
Ila wengi wao ni kutokuwa na akili ya mbali so anavyo kutapeli hiyo elfu 50-100 anahisi itampeleka mbali kumbe within 2 days ishaisha yoteAfadhali mkuu umenielewa. Naona kuna wenzetu wanaona ni utani,ila hawa watu wamebuni njia mpya ya utapeli sawa na wale wanaokwambia housegirl anatokea Namtumbo tuma hela ya nauli.
Nitakutag mkuu endapo atarudi,ila ndio keshapoteza sifa ya uaminifu kwa pesa ndogo.Huyo atarudi we subiri anajua amekukimbia kumbe amejizalilisha tu. Usisite kuleta mrejesho akirudi



