Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??

Ni utapeli mpya au mimi ndio mshamba??

Huyo demu mgeni kwenye utapeli, tafuta namba nyingine ulianzishe upya ataingia tu kwenye box.
 
jamaa kazidiwa akili tenana kabinti kadogoo tu.
Tz hii kuna maneno tunabadilisha matumizi yake sana.
Hivi mwizi ama tapeli waweza kumuita mjanja?
Kuiba kwa kuaminiwa, kudanganya ama kutapeli, kukosa uaminifu ni ujanja?
Mwizi ama tapeli kumuita mjanja ni kum-rank na kumpatia sifa asizostahili.
Ujanja ni uwezo wa kutanzua ama kugundua mambo kwa haraka na kuya'salve'.
Utovu wa uaminifu namna hiyo kunafanya hata waadilifu wakose tuzo wanazostahili kwa ajili ya wezi wachache!
Habari kama hii inawafungua watu akili na kuwafanya wafuge kucha kwa ajili ya kudhibiti 'uchache' walionao viganjani mwao, kutokana na mwizi mmoja!
 
Inawezekana umepigwa zaidi ya hapo...yaani umetoa card tuu umeigharamia hivyo ungepewa papuchi si ungepeleka hadi vyeti vya kuzaliwa,Chuo na passport ...
 
Mkuu nje ya mada yako. Mimi nilikutana na mmoja kwenye Safari tukaongea vizuri na kupeana namba. Tukapanga tukutane maeneo fulani kwa ajili ya maongezi ya kawaida. Kiukweli nilishaanza kuvutiwa nae sana sana tu kutokana na story tulizokua tunapeana kwenye simu tokea tulipokutana kwenye usafiri. Kituko ikawa siku ya kukutana bana. Yeye akaja na rafiki zake wanne na yeye wa tano. Haikua sehemu yenye gharama sana tulipoonana lakini kwa matumizi waliyotumia ilinitoka elf 80 na mwisho kabisa akaomba na hela ya nauli.
Baada ya kuondoka nilimtumia sms kumwambia alichonifanyia haikua poa. Akaishia kuniblock lakini baada ya week alinitafuta mwenyewe. Lakini nikabakia na msimamo wa kutokua na mausiano nae tena.
 
Kupigwa ni kupigwa tu haijalishi una ela nyingi yani umepigwa tena kilofa kweli...
Sikujua kama kuna watu wanapigwa hivi bado hayo mengine ni kujifariji ungekuwa na pesa nyingi alipokuomba 50,000 akakwambia anaumwa ingemtumia laki kabisa alipokuomba 25000 itimie ela ya dawa ungemwongeza na ya matunda na juice sasa wewe unatuma hata huongezi ela ya kutolea halafu unadai una pesa.
 
Ni utoto uluochanganyika na ujinga. Nadhani umesalimika na kuwa na uhusiano na mtu mwenye IQ ndogo kama huyo.
 
Bahati mbaya sana sijakuelewa unachomaanisha
Ni utoto uluochanganyika na ujinga. Nadhani umesalimika na kuwa na uhusiano na mtu mwenye IQ ndogo kama huyo.
Na hicho ndio kinachoniuma. Kwamba nilimpenda mtu mwenye Iq ndogo na asiye na ustaarabu...
 
Kabinti ni karembo kweli. Mzee mzima nikasema wacha nitupe nyavu. Baada ya kutoa ya moyoni nikaambiwa mi nina mtu wangu. Nikamwambia hamna shida basi chukua business card yangu ili kama utanihitaji au kubadili mawazo uweze kuwasiliana na mimi.

Akaipokea kwa mikono miwili. Siku mbili baadae naona namba ngeni inanipigia. Napokea naambiwa mimi ni yule uliyenipa business card yako juzi,nikafurahi kuona mrembo anaanza kuingia line. Tukaongea kwa kirefu mchana huo.

Jioni naona ujumbe kwenye simu, baby naumwa sana na wewe ndio tumaini langu la mwisho. Naomba nitumie 50,000 niende hospitali. Mzee mzima nikaona mambo si haya,fasta tigo pesa ikahusika.kesho yake naambiwa baby asante sana kwa msaada wako ila ile hela imepungua 25,000 ili niweze kununua dawa.

Bila kujiuliza nikatuma hiyo hela. Cha kushangaza kesho yake namtafuta kumuulizia hali nakuta ameniblock nikaishia kucheka tu na kumuona ni mjinga aliyekosa vingi toka kwangu kwa kujiona ametosheka na hiyo 75,000.
Wanapenda Pesa kuliko utu
IMG-20180331-WA0013.jpg
 
Nakuhurumia mkuu,kwa kupoteza fedha zako.ivi una ndugu mwenye shida?nikwe bibi zko kijiji asinge msaidi hyo pesa?acha izo...tafakali ktk hloo
 
Usikariri ushauri unaosoma toka kwa wengine kwenye mitandao ya kijamii ndugu yangu. Hapa nilipo mimi ndio masikini kuliko wote katika ukoo wangu...
 
Kabinti ni karembo kweli. Mzee mzima nikasema wacha nitupe nyavu. Baada ya kutoa ya moyoni nikaambiwa mi nina mtu wangu. Nikamwambia hamna shida basi chukua business card yangu ili kama utanihitaji au kubadili mawazo uweze kuwasiliana na mimi.

Akaipokea kwa mikono miwili. Siku mbili baadae naona namba ngeni inanipigia. Napokea naambiwa mimi ni yule uliyenipa business card yako juzi,nikafurahi kuona mrembo anaanza kuingia line. Tukaongea kwa kirefu mchana huo.

Jioni naona ujumbe kwenye simu, baby naumwa sana na wewe ndio tumaini langu la mwisho. Naomba nitumie 50,000 niende hospitali. Mzee mzima nikaona mambo si haya,fasta tigo pesa ikahusika.kesho yake naambiwa baby asante sana kwa msaada wako ila ile hela imepungua 25,000 ili niweze kununua dawa.

Bila kujiuliza nikatuma hiyo hela. Cha kushangaza kesho yake namtafuta kumuulizia hali nakuta ameniblock nikaishia kucheka tu na kumuona ni mjinga aliyekosa vingi toka kwangu kwa kujiona ametosheka na hiyo 75,000.

No offense, wewe ndo mshamba mkuu.... tena mshamba kweli kweli .
 
Umeliwa mkuu. Tena na mwanaume mwenzio. Demu aliitupa business card yako akaiokota muhuni mmoja. Na yeye ndio aliyekupiga..
 
Kabinti ni karembo kweli. Mzee mzima nikasema wacha nitupe nyavu. Baada ya kutoa ya moyoni nikaambiwa mi nina mtu wangu. Nikamwambia hamna shida basi chukua business card yangu ili kama utanihitaji au kubadili mawazo uweze kuwasiliana na mimi.

Akaipokea kwa mikono miwili. Siku mbili baadae naona namba ngeni inanipigia. Napokea naambiwa mimi ni yule uliyenipa business card yako juzi,nikafurahi kuona mrembo anaanza kuingia line. Tukaongea kwa kirefu mchana huo.

Jioni naona ujumbe kwenye simu, baby naumwa sana na wewe ndio tumaini langu la mwisho. Naomba nitumie 50,000 niende hospitali. Mzee mzima nikaona mambo si haya,fasta tigo pesa ikahusika.kesho yake naambiwa baby asante sana kwa msaada wako ila ile hela imepungua 25,000 ili niweze kununua dawa.

Bila kujiuliza nikatuma hiyo hela. Cha kushangaza kesho yake namtafuta kumuulizia hali nakuta ameniblock nikaishia kucheka tu na kumuona ni mjinga aliyekosa vingi toka kwangu kwa kujiona ametosheka na hiyo 75,000.

Yaan dem mshamba kweli yule mkuu..,kwa nnavyokujua ww ungeweza kumuhonga hata milion 5 sema kawahi kusepa tu. Ila mtafute kwa namba mpya mkuu uzidi kumhonga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom