Sasa swali ninalojiuliza,nimtendeje mtu huyu endapo atarudi maana najua atarudi tu tena na uongo mwingi...Muache aende zake, wakati unatoa ulifurahi na kupata amani ya moyo hivyo kuna stress ulizipunguza achana naye
Naomba nisaidie 100000 nikatibiwe katika burungutu aliloliachaKabinti ni karembo kweli. Mzee mzima nikasema wacha nitupe nyavu. Baada ya kutoa ya moyoni nikaambiwa mi nina mtu wangu. Nikamwambia hamna shida basi chukua business card yangu ili kama utanihitaji au kubadili mawazo uweze kuwasiliana na mimi.
Akaipokea kwa mikono miwili. Siku mbili baadae naona namba ngeni inanipigia. Napokea naambiwa mimi ni yule uliyenipa business card yako juzi,nikafurahi kuona mrembo anaanza kuingia line. Tukaongea kwa kirefu mchana huo.
Jioni naona ujumbe kwenye simu, baby naumwa sana na wewe ndio tumaini langu la mwisho. Naomba nitumie 50,000 niende hospitali. Mzee mzima nikaona mambo si haya,fasta tigo pesa ikahusika.kesho yake naambiwa baby asante sana kwa msaada wako ila ile hela imepungua 25,000 ili niweze kununua dawa.
Bila kujiuliza nikatuma hiyo hela. Cha kushangaza kesho yake namtafuta kumuulizia hali nakuta ameniblock nikaishia kucheka tu na kumuona ni mjinga aliyekosa vingi toka kwangu kwa kujiona ametosheka na hiyo 75,000.

Mh ....... nishaonywa....Naomba nisaidie 100000 nikatibiwe katika burungutu aliloliacha![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Utajua hapo hapo baada ya maelezo yake huenda kaibiwa simuSasa swali ninalojiuliza,nimtendeje mtu huyu endapo atarudi maana najua atarudi tu tena na uongo mwingi...
utamjibu kwa jinsi ya maelezo yakeUkiweza kuniambia hiyo 75,000 ni sawa na Euro ngapi kwa exchange rate ya leo labda naweza kuendelea na mjadala...Kama nakuona roho inavyokuuma kwakupigwa 75000, umeamua kuja kusaka faraja humu

You are a real whitehorse ...Namfikiria binti wa elfu 75 namfananisha na hiyo business card napata picha ya mapera na mitishamba tu![]()
mkuu, kumbe hata kama alikua ameshatoa hua inarudi tu?piga simu tigo pesa waambie ulimkosa kutuma pesa watakurudishia ela yako ata kama ametoa siku akitumiwa itarudi yote
Mkuu katika kubadilishana mawazo, lolote linaweza likatokea.Hahahaaa hajielewi huyo ndio maana hata sijamjibu..
I m curious to know what you did to her....Hivyo ndio vidada cheap, kuna mmoja nilimtoa mahali baada ya kuchat kwa siku mbili akanambia anakuja kuniona nikasema poa, akiwa njian ananicall eti anadaiwa elfu 30 na rafiki yake na anamdhalilisha mbele za watu, nikajua tu ni uongo ila nikamtumia baada ya kujibu ahsante hakupatikana tena lol, baada ya mwezi akanitafuta nilichomfanyia naamini hata shoga ake wa karibu kashindwa kumsimulia.
elfu 30 seriously!!!
siku akitumiwa tu ya kwako inakatwa inarudimkuu, kumbe hata kama alikua ameshatoa hua inarudi tu?
Baada ya kugonga mashine na wewe m'block jumla!Mkuu huyo hachelewi sasa ivi atarudi tena analialia.. Atakuja na uongo oooh Simu yangu ilijiblock hapo hapo Mvue Chupi siku moja then utoka kama Filbert Bay
Dhambi ya kubemenda isingekuacha salama Mkuu!Nimecheka sana..Jana nilitoa bia Moja sh 3000/- Ana mtoto wa mwaka mmoja. Nimehofu sana halo ya kachanga
Halafu utasema kuwa hujawahi kubeti??Kabinti ni karembo kweli. Mzee mzima nikasema wacha nitupe nyavu. Baada ya kutoa ya moyoni nikaambiwa mi nina mtu wangu. Nikamwambia hamna shida basi chukua business card yangu ili kama utanihitaji au kubadili mawazo uweze kuwasiliana na mimi.